International Forum

News and Stories from rest of the World
HARARE,ZIMBABWE BENKI za Zimbabwe zimeanza kutoa noti na sarafu mpya zilizotolewa na benki kuu ya nchi hiyo RBZ ili kupunguza ukosefu wa sasa wa pesa taslim. Watu walitarajia kuanza kupata pesa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Robert Bayigamba, Waziri wa zamani wa Vijana, Michezo na Utamaduni nchini Rwanda amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Nyarugenge ambapo ameshtakiwa rasmi kwa udanganyifu na kupata mali ya mtu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Kuwait, Shaikh Jaber Mubarak Waziri Mkuu, Shaikh Jaber Mubarak amewasilisha pendekezo la kuwataka Mawaziri wajiuzulu kwa Mkuu wa Nchi hiyo(Emir), Sheikh Jaber al-Ahmad al-Sabah...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maelfu ya Wanafunzi wameshikana mikono nje ya majengo ya shule Jijini Hong Kong wakiungana na raia wengine katika maandamano ya kupigania demokrasia Mgomo huo wa Wanafunzi umepewa jina la 'Mgomo...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Seneta wa Marekani ameshukiwa vikali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutumia 'Kiswahili' kama fumbo la kumaanisha maandishi yasiyoeleweka. Katika mahojiano ya mmiliki wa Facebook, Mark...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni Nov 13, 2019 08:09 UTC Wanamuqawama wa tawi la Al-Quds la Harakati ya Jihadul-Islami la Palestina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ethiopia inajenga bwawa kubwa linalojulikana kama Renaissance, ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mwakani Bwawa kubwa la 'Renaissance' ni kivutio kikubwa nchini Ethiopia Bwawa hilo linalojengwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Waandamanaji mjini Hong Kong wamesababisha kuvurugika kwa mtandao wa usafiri mjini humo kwa siku ya pili mfululizo leo wakati mataifa ya magharibi yameeleza wasi wasi wao kuhusiana na machafuko...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Key Pillars of Rwanda’s Exponential Economic Growth Loading Image By Reuben Omanyala Nov. 12, 2019, 9:59 p.m. Rwanda, East Africa’s smallest country, is ranked among the fastest-growing...
1 Reactions
6 Replies
914 Views
Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wahuni eti ma-generals vita ya myaka hiyooo! Siyo ya sasa teknologia tupu! Yani kuku-trace ukiwa huko porini mimi nikiwa chumbani kwangu. Waasi wa M7 wamekwisha, ana-support waasi kui-destabilize...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Ndugu wana bodi nimeona nishee nanyi uzi huu kufuatia mambo kadha wa kadha yaliyomsibu ndugu yetu Rais wa Bolivia bwana Evo Morales mpaka kufikia kuondolewa madarakani kwa nguvu ya wananchi nyuma...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Professor Jwani Mwaikusa headed the Department of Constitutional and Administrative Law at the University of Dar Es Salaam. On the morning of July 15, I spoke to William Mitchell Law Professor...
6 Reactions
57 Replies
12K Views
Kamanda: IRGC imejizatiti kwa makombora na drone za kisasa Nov 12, 2019 02:59 UTC Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ameashiria kuhusu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Halo JF international forum. Waziri wa zamani wa Rwanda Dr Richard Senzibera ametoweka. Dr Senzibera aliyewahi pia kuwa katibu mkuu wa jumuiya ya Africa Mashariki, amepotea machoni mwa watu na...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Muswada wa Sheria ya Kuzuia kauli zenye chuki wa mwaka 2019 ambao unaeleza kuwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa itolewe kwa yeyote atakayekutwa na hatia ya kueneza chuki dhidi ya mwingine ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BREAKING: IDF eliminated Islamic Jihad commander in Gaza, Baha Abu Al Ata. He was responsible for hundreds of terror attacks against Israeli civilians.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Iran: Tuko tayari kuzipa nchi za Ghuba ya Uajemi utaalamu wetu wa Nyuklia Nov 11, 2019 02:42 UTC Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuzipa...
1 Reactions
1 Replies
991 Views
Back
Top Bottom