International Forum

News and Stories from rest of the World
imeripotiwa kuwa takribani watu 15 wamefariki na wengine 58 wamejeruhiwa baada ya Treni mbili za abiria kugongana katika Wilaya ya Brahmnbaria Mashariki mwa Bangladesh Jumanne hii. inaelezwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sababu za kimaslahi tu kwa kutumia askari wao hatari kabisa hapa duniani GRU,ALPHA na VYMPEL, walizivamia ,nchi nying kibabe tu ili kulinda maslahi yao. Hawa jamaa kwa ukorofi wao walidiriki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mexico City: Serikali nchini Mexico imeliomba shirika la FBI kushiriki katika uchunguzi wa shambulio ambalo liliwauwa raia 09 wa Marekani na Mexico. Wizara ya Mambo ya nje nchini Mexico ilitoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Limejitokeza wimbi la wanajeshi na polisi sehemu mbalimbali duniani kuunga mkono maandamano na harakati za wananchi kuwaondoa viongozi dhalimu, madikteta na mafedhuli. Zamani ( nahata sasa) wengi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Shirika la Uchapishaji la Uganda (UPPC) limeburuzwa katika Mahakama Kuu huko Kampala kwa tuhuma za kushindwa kutangaza na kuchapisha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Binadamu (2019). Katika...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
SpaceX launched 60 Starlink satellites as part of mission to bring internet to the world SpaceX launched 60 more satellites Monday as part of CEO Elon Musk's "Starlink" mission to bring...
3 Reactions
3 Replies
934 Views
November 7, 2019 New York City Mamlaka za jiji la New York wapo katika utekelezaji wa kuwahamisha watu wasio na makazi wanaolala katika mabaraza ya mitaa ya jiji hilo maarufu katika bara la...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Reuters Staff CAIRO/GAZA (Reuters) - The Palestinian militant group Islamic Jihad said Israel targeted the house of one of its officials in the Syrian capital on Tuesday, killing one of his sons...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Paris, Ufaransa. Kwa mujibu wa Tafiti zilizofanywa na jarida la mitindo la Zalando jiji la Paris ndio jiji la kifahari zaidi duniani kwa mwaka 2017, likichukua nafasi ya jiji la London ambayo...
3 Reactions
18 Replies
12K Views
Mzuka! Siku zote kikulacho ki nguoni mwako. Inasadikika aliyevujisha siri alipo gaidi boss wa ISIS Abubakar Al Baghdad alikuwa mtu wake wa karibu. Jamaa huyo ambaye ni mwarabu wa sunni huenda...
19 Reactions
103 Replies
13K Views
habari ya leo, poleni na majukumu na pilikapilika za kutwa, Nishaona baadhi ya maswali mbalimbali hapa jf watu tukiulizana juu ya taifa la Israel kwamba je ndio hao walipo hapo sasa Israel? Au sio...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari toka vyanzo tofauti ni kuwa Iran imetungua drone nyingine ambayo illingia kwenye Anga lake. Marekani kwa upande wake imesema haijapoteza Drone yake yoyote. Iran imesema imechukua mabaki...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Makeshia 30 wa Mamlaka ya Taifa ya Usimamizi wa Bararbara nchini Zimbabwe (Zinara) wametimuliwa kazi kwa wizi. Hili limekuja baada ya mamlaka kugundua udanganyifu katika mageti ya kulipia...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Ikiwa Namibia inaelekea katika Uchaguzi Mkuu tarehe 27 Novemba mwaka huu, vyama vya upinzani nchini humo vimeeleza dhamira ya kuipunguza nguvu na wingi wa uwakilishi wa chama cha SWAPO bungeni...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Chama cha Kisoshalisti cha Waziri mkuu, Pedro Sanchez kimeshinda katika uchaguzi mkuu wa kitaifa wa Hispania jana. Katika uchaguzi huo wa pili katika muda wa chini ya miezi saba, chama hicho cha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Polisi wa Afrika Kusini wamewakamata wahamiaji haramu 300 mjini Johannesburg. Polisi wamesema kikosi mseto kiliwakamata wahamiaji hao kwenye jengo lenye ghorofa 21 lililovamiwa katika eneo la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Duduzane Zuma, mtoto wa Rais wa zamani, Jacob Zuma ameshitakiwa kwa makosa ya rushwa katika Mahakama ya biashara mjini Johannesburg. Duduzane Zuma(34) anadaiwa kuwa sehemu ya waliojaribu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakongwe..! Nilishawahi kuangalia series fulani ya Wamarekani, kwenye hiyo series kuna askari mmoja ambaye alikuwa ni Pilot wa ndege zisizokuwa na rubani ndani yake (Drones), kuna...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Panya wamekua tishio katika Jiji la Paris, kuharibu ofisi za umma na nyaraka muhimu. Kupqmbana na hali hiyo serikali ya Ufaransa imeamua kuajiri paka ili kupambana na genge la panya waharibifu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom