Naona maximum pressure imeanza kuzaa matunda.
===
Protests have erupted across Iran after the government unexpectedly announced it was rationing petrol and increasing its price, state media...
Waziri wa Sheria wa Ethiopia amesema uchunguzi wa mauaji ya kisiasa mwishoni mwa mwezi Juni tayari umekwisha, huku mwendesha Mkuu Berhanu Tsegayé akisema wamebani kwamba tukio lililotokea Juni 22...
Aman iwe nanyi wakuu
Nawaza tu siku pale England aje king
Hii haitapendeza kabisa
Watu tushazoea kujiita watoto wa malikia
Hata league huwa tunaita league ya malikia
Hata kingeleza huwa...
Serikali kuu ya Ujerumani inajaribu kuwatuliza wananchi kuwa usalama wao hautoingia hatarini kwa kurejea humu nchini wafuasi wa kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiislam-IS kutoka Uturuki...
Hali ya upinzani na wasiwasi ni tete nchini Rwanda na kwa dikteta Kagame. Kwa mujibu wa habari toka DW mchana wa leo bwana Kagame amefanya mabadiliko makubwa katika baraza la mawaziri na kumuondoa...
Baada ya hasara ya miaka 13 mfululizo shirika la ndege la Afrika Kusini ili kujinusuru linatafuta mbia na linafikiria kupinguza 1/5 ya wafanyakazi wake.
============
South African Airways has...
In 1987, Boris married Allegra Mostyn-Owen, daughter of the art historian William Mostyn-Owen and Italian writer Gaia Servadio.
The couple divorced in 1993 and twelve days later Johnson married...
LOTTERY winner Michael Caroll's uncle shot his wife in the head and then turned the gun on himself, hours after telling his GP that his marriage was breaking down, a court has heard today...
Jammeh feared musicians'
Twenty years Yahya done for me anything. Anything, anything. Anything, anything," a rapper shouts angrily as the dreadlocked driver and his passengers rhyme along.
A...
Polisi katika Wilaya ya Apac nchini Uganda wameanza uchunguzi dhidi ya mwanamama anayedaiwa kumzika akiwa hai mwanaye wa kiume mwenye umri wa miezi miwili.
Imeelezwa kuwa Mwanamke huyo mwenye...
JUBA, Sudan Kusini
SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani...
Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Sudan Kusini...
Yaseem Munir mwenye miezi 11, amelazwa hospitali katika chumba cha Magonjwa Mahututi baada ya kupatwa na risasi 4 kwenye mapambano ya silaha yaliyozuka yakihusisha wauzaji wa dawa za kulevya...
Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa ( A380) mapema leo ililazimika kurejea katika Uwanja wa Ndege wa Abidjan nchini Ivory Coast baada ya injini moja kupata hitilifa ikiwa angani, kuelekea Paris...
Tangu Oktoba 01, 2019 Wananchi wa Iraq walianza maandamano ya dhidi ya Wanasiasa wanaoongoza nchi hiyo wakiwashutumu kwa mfumo uliokithiri rushwa na utawala usiokidhi katika kuongoza nchi
Taarifa...
Benki Kuu ya Zimbabwe (RBZ) inazichunguza Benki mbili za CBZ na Ecobank kwa madai ya kuvujisha kiasi cha $ 59,180 ya noti mpya na sarafu kwa wateja wawili.
Picha za maburungutu ya pesa na ndoo...
PALESTINA: Baha Abu Al-Atta amefariki kufuatia shambulio la anga lililotekelezwa na vikosi vya Serikali ya Israeli
Taarifa za awali zinaeleza kuwa licha ya kuuawa kwa Al-Atta katika shambulio...
wa Palestina wajibu mapigo baada ya Israel kumuua shahidi kamanda wa Jihad Islami
Nov 12, 2019 08:07 UTC
Wanamuqawama wa Palestina wametoa jibu kali baada ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.