Wafanyakazi wawili wanaodaiwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani, wameshtakiwa wakishutumiwa kuwasaidia Maafisa wa Saudi Arabia kupata taarifa binafsi za watumiaji wa Mtandao huo...
Wanahabari wanne wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya kibinafsi nchini Burundi wameshtakiwa kwa madai ya kuhujumu usalama wa taifa, baada ya kuangazia shambulio la waasi katika mji wa...
Beijing, China. Mmoja wa waandamanaji anayeipinga Serikali, amemchoma kisu na kumjeruhi mbunge wa Hong Kong.
Mbunge huyo anayeiunga mkono serikali ya Beijing, alikuwa akifanya kampeni ya uchaguzi...
Shambulio la kushtukiza lililolenga msafara wa wafanyakazi wa mgodi wa Canada nchini Burkina Faso, limesababisha vifo vya watu 37, hili likiwa shambulio baya zaidi kuwahi kutekelezwa katika...
Hebu fikiri leo hii unakuwa Rais au Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, unategemea kufanya kikao kikubwa sana na kiongozi wa taifa jingine: Ni vitu gani vya muhumu utaviwekea kipaumbele wakati wa...
Mwanamke aliyefukuzwa kazi baada ya picha yake kusambaa akionekana akimuonesha 'kidole cha kati' Rais Trump amechaguliwa kuongoza ofisi ya Umma huko Virginia
Juli Briskman aliyeonesha ishara hiyo...
Rais wa Rwanda Paul Kagame azungumzia mgogoro wa nchi yake na Uganda.
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameelezea kuwa chimbuko la mgogoro baina ya nchi yake na nchi ya Uganda ni la tangu miaka 20...
Kanisa katoliki limeanza uchunguzi kubaini chanzo na sababu za masista wake wawili kupata ujauzito baada ya kutembelea Africa ambap walikuja kwa kazi ya kimisionari.
Rais wa Marekani Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Florida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Florida...
Mahakama ya Katiba imechukua hatua hiyo katika historia ya mfumo wa Mahakama ili kuendana na hali ya hewa ambapo inaelezwa nchini hjmo kuna joto kali wakati huu
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya...
Watu wenye silaha wamewafyatulia risasi Walinzi katika Kituo kimoja cha ukaguzi cha barabarani na kuwaua Wafanyakazi 15 wa kujitolea na kujeruhi wengine watano
Kwa mujibu wa Kanali wa Jeshi...
Marekani imesema inaweka vikwazo kwa raia tisa waliopo karibu na Kiongozi Mkuu wa Iran ambao wanaukaribu na kiongozi mkuu wa nchi hiyo Ali Khamenei.
Wizara ya Fedha ya Marekani imesema watu tisa...
Rais Donald Trump, amethibitisha kuwa Abu Bakr al Baghdad aliyejiua yeye mwenyewe, amesema kuwa amekufa kama Mtu muoga na kama Mbwa
Amejiua kwa mabomu aliyokuwa ameyavaa mwilini mwake. Washirika...
Wanahabari Wanawake 2 wamelalamikia kitendo hicho walichofanyiwa na Mkurugenzi wa Habari wa Jeshi la Sudan Kusini, Malaak Ayuen
Tukio hilo limetokea katika Mkutano wa Jeshi na Wanahabari...
RIPOTI: ‘GADDAFI ALIUAWA KIMAKOSA’
Raia wa Libya sasa hivi wanaishi maisha ya tabu ukilinganisha na kipindi cha utawala wa Kanali Gaddafi.
LONDON:
Ripoti ya Kamati ya Bunge Uingereza imekosoa...
Bosi huyo Steve Easterbrook amefukuzwa kazi baada ya bodi ya wakurugenzi kujiridhisha kuwa amekuwa kwenye mahusiano (ya ridhaa) na mfanyakazi wake wa kike.
Bodi imeeleza kuwa bosi huyo alikiuka...
Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi...

MOGADISHU,SOMALIA
UMOJA wa Mataifa (UN) umetuma misaada ya dharura nchini Somalia kufuatia mvua kubwa ambazo zimenyesha katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na kusababisha mafuriko.
Misaada...
Taarifa ya Wizara ya Hazina ya Marekani inasema deni la ndani limeongezeka hadi kufikia dola trilioni 23 ambapo ukiligawanya kwa idadi ya watu milioni 328 kwa wastani kila mwananchi anadaiwa dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.