Ile zahama iliyowakuta Huawei sasa imehamia kwa makampuni kadhaa ya kiteknolojia ya China ikiwemo kampuni kubwa ya camera za ulinzi ya Hkvision.
Marekani inaendeleza mbinyo wa kuyatupia kwenye...
Mwisho wa mwezi wa 9 na mwanzo wa mwenzi wa 10 kuna kikao kinaendelea pale new york USA
Yes ni mataifa yanatoa riport zao mbali mbali shukrani nyingi sana kwa serikali yetu ya tanzania kwa riport...
Wapenzi raia wa kigeni ambao hawajaoana sasa wanaweza kulala chumba kimoja cha hoteli nchini Saudi Arabia.
Hayo ni sehemu ya mabadiliko ya masharti ya kupata viza yaliyotangazwa hivi karibuni na...
Watanzania wengi wanaamini kabisa kwamba Mugabe aliingia msituni akisaidiwa na sisi pia kumuondoa Mkoloni Uingereza, hilo ni kweli lkn kwa kiasi fulani, nitajaribu kuelezea.
Mugabe & Co...
Iran kuzindua satalaiti tatu mpya za Zafar, Pars 1 na Nahid 1
Oct 05, 2019 08:03 UTC
Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran itakamilisha utengenezaji wa...
Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram
Oct 05, 2019 15:05 UTC
Rais wa zamani wa Benin amefichua kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia unawasaidia kifedha...
Watu wenye silaha wametekeleza mauaji ya watu 11 usiku wa kuamkia leo kaskazini mwa Rwanda.
Tukio la mauaji hayo lilitokea mida ya saa tatu usiku katika tarafa za Kinigi na Musanze wilayani...
Shambulizi la silaha nchini Marekani: Watu 4 wameuawa na 5 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la kutumia silaha lililofanyika katika baa moja jimboni Kansas nchini Marekani.
Kwa mujibu wa habari...
[https://static]
North Korea is accusing the US of spreading the Ebola virus, claiming it has been “bent on the development of bio-weapons” in order to achieve world supremacy.
The secretive...
Nancy Pelosi mtoto wake alifutiwa Kesi ya utapeli Ukraine kampuni ya gas baada ya mama ake kuitishia Ukraine 2015 .Trump anafichua siri za watoto wa mafisadi sasa washington .Na trump Ameomba...
DALLAS (AP) — A witness in the murder trial of a white Dallas police officer who fatally shot her black neighbor has been killed in a shooting, the Dallas Morning News reported, citing...
Nawasalimu nyote ktk jukwaa hili,twende kwenye mada.
Kuna mchakato unaendelea nchini Burundi kumtafuta mlithi wa rais Nkurunziza baada ya kutanabaisha kua hatogombea tena katika uchaguzi ujao...
Nchi za magharibi na mashirika yao ya fedha hawawezi kuacha kukopesha nchi za Afrika kwa masharti magumu ili mradi misaada wanayowapatia haileti tija kwa raia wake.
Habari kamili ipo hapa...
Hunter Biden ni mtoto wa joe Biden ila huyu m baba ana matatizo kibao na baba ake alijua mtoto wake ana matatizo ,kwanza alifukuzwa Navy kwa ajili ya cocaine heroine na Akaja ku date mke wa kaka...
Askari wanne wa Idara ya Polisi wamefariki baada ya kushambuliwa kwa kisu baada ya Mtu mmoja kuvamia Makao Makuu ya Polisi
Mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi baada ya kuanza kuwashambulia askari...
Salami: Adui hana ujasiri wa kufyatua risasi hewa dhidi ya Iran
Oct 04, 2019 01:40 UTC
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema adui wa taifa hili hana uthubutu...
...Jaji mmoja nchini Thailand amejipiga risasi akiwa mahakamani akipinga kuingiliwa uhuru wa mahakama. Jaji huyo aliwaachia huru watuhumiwa wanaofuata imani ya Kiislamu waliokuwa wanakibiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.