Russia helping China build missile attack warning system: Putin
Fri Oct 4, 2019 03:22AM [Updated: Fri Oct 4, 2019 03:27AM
Russian President Vladimir Putin attends a meeting on modernizing the...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kwamba hataomba kuchaguliwa tena baada ya muhula wake wa sasa kumalizika mwaka 2020.
Ametoa tangazo hilo akiwa eneo la Bugendana, Gitega ambapo alikuwa...
Saudi defense minister says he views Houthi truce 'positively'
Sat Oct 5, 2019 09:23AM [Updated: Sat Oct 5, 2019 10:51AM ]
Supporters of Yemen's Houthi Ansarallah movement chant slogans and...
Saudi defense minister says he views Houthi truce 'positively'
Sat Oct 5, 2019 09:23AM [Updated: Sat Oct 5, 2019 10:51AM ]
Supporters of Yemen's Houthi Ansarallah movement chant slogans and raise...
Matumizi ya ofisi ya umma ili kujinufaisha sio Africa tu,ni hulka ya Mwanadamu,Aliyekuwa makamu wa Raisi wa Obama,Joe Biden,moja ya majukumu yake ilikuwa kusimamia Sera za nishati na misaada kwa...
Waziri mkuu wa Uingereza Bwana Bojo amesalimu amri na amekubali kua ataiomba umoja wa ulaya kuwaongezea muda iwapo hawataafikiana kufikia Octoba 31 mwaka huu.
Kabla ya hapo bwana Bojo aliapa...
Comments Off
Idadi ya vifo vya watu inazidi kuongezeka nchini Iraq kufuatia maandamano yaliyozuka siku nne zilizopita ya kupinga Serikali ya nchi hiyo. Imeripotiwa kuwa watu zaidi ya 100...
Rais wa Cameroon Paul Biya ameamuru kuachiliwa huru kwa wafungwa 333 wanaoshtumiwa kuhusika katika mgogoro uliozuka katika maeneo yanayozungumza Kiingereza. Hatua ambayo inachukuliwa wakati...
18-09-2019
Tanzania continues to stifle civil society and critical views as it heads towards general elections in 2020, with a slew of new legislation aimed at curbing the NGO sector and freedom...
Haki Waziri wa mamabo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema mashambulio ya Jumamosi yalikuwa ni "hatua ya kivita"
Saudi Arabia inasema ina ushahidi unaoonyesha kuwa Iran ilifadhili mashambulio...
ISHU YA IRAN KAA LA MOTO KULISHIKA KWA MKONO NI TAABU
Mratibu mkuu wa vikwazo nchini Marekani dhidi ya Iran, Sigal Mandelker anayefanya kazi katika Wizara ya Fedha ameripoti kujiuzulu nafasi...
Published on Aug 26, 2019
Israel has been blamed for a string of attacks against Iranian-allied forces in three countries over the weekend.
That's raised tensions across the Middle East.
Early on...
Dah hawa jamaa si mchezo. Kwenye miaka ya themanini mataifa makubwa duniani yalikubaliana kuacha kuzalisha Chlorofluoro (CFC) chemical. Hii kemikali ilikuwa inatumika kwenye mafriji na air...
Two of the South African Airways (SAA) cabin crew employees have been arrested in Hong Kong on drug trafficking charges.
Arrested on separate days on the 23 and 24 September, the flight...
Kuna reality TV show kama "danger tv" au " A & E.
Kila siku polisi wanakomaa nao kwenye suala la uuzaji wa madawa ya kulevya,kupigana risasi wao kwa wao kwenye usaliti gangsters,mtu hadi utumbo...
Wabunge na wanaharakati nchini Uingereza wsmeonyesha ukali wa demokrasia.
Majuzi Waziri Mkuu Boris Johnson alilifungia Bunge kuendelea na vikao hasa kujadili BREXIT.
Wabunge na wanaharaksti...
Mohammed bin Salman ameonya kuwa vita baina ya nchi yake na Iran vitaharibu kabisa uchumi wa Dunia
Mohammed bin Salman.
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman ameyasema hayo huku nchi...
Leo jioni mida ya saa 10 Nkurunziza ametua kwa elikopta Katika kiwanja cha ndege cha Ngara, amepokelewa na uongozi wa Wilaya ya Ngara, amesindikizwa na jeshi la wananchi wa Tanzania mpaka nchini...
Nimeangalia hawa wachina wakisherehekea miaka 70 ya taifa lao kwa kweli wamepiga hatua kubwa sana.
Nchi zetu za kiafrika nyingi kimaendeleo zinaelekea chini na kutegemea hao tunaowaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.