International Forum

News and Stories from rest of the World
Vijaona mnaotembea nchi za Mabeberu mkiisema vibaya nchi yenu igeni mfano wa hao hao mnaowaeleza story zenu za kipuuzi Dunia imeingia kwenye vita ngumu ya kiuchumi kila Taifa sasa linapigania...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kundi la kwanza la wakimbizi 66 wakiwemo watoto, akina mama na watu wanaohitaji msaada wa haraka, ambao wamekuwa wakizuiwa nchini Libya, wamewasili jijini Kigali nchini Rwanda, na kupelekwa katika...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
The world shrugs as China locks up 1 million Muslims China has detained an estimated 1 million to 2 million Uighur Muslims in the region of Xinjiang, and millions more live one step away from...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Tokea jeshi la japan kusurender na kuwa chini ya uangalizi wa marekani, naona ndio wamekuwa wanyonge japo wana teknolojia kubwa Kim jong un kila kukicha anayaelekeza maombora yake kwenye eneo la...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA Jun 11, 2019 13:00 UTC Kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliuawa baada ya kubainika kuwa ni jasusi wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waasi wa Houthi nchini Yemen wanasema wamewakamata sehemu kubwa ya wanajeshi wa Saudi Arabia baada ya shambulio kubwa karibu na mpaka kati ya mataifa hayo mawili. Msemaji mmoja wa Houthi ameileza...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Rais wa zamani wa Ufaransa, mwanasiasa aliyefuata siasa za mrengo wa wastani zinazoengemea kulia,aliiongoza Ufaransa kati ya mwaka 1995 na 2007, ameaga dunia Alhamisi (26.09.2019) akiwa na umri wa...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
BARAZANI Demokrasia ilivyombana Boris Johnson Na Ahmed Rajab SIASA za Uingereza zimevuliwa nguo. Hazina tena staha wala stara. Wanasiasa wako hamkani. Serikali haijijui, wakuu wake...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
September 30, 2019 WASHINGTON - President Donald Trump has congratulated Gen. Mark Milley on becoming chairman of the Joint Chief of Staff. Trump is attending a rainy welcome ceremony for Milley...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapiganaji wa kundi la Maimai nchini Congo, wameitikia wito uliotolewa na rais wa nchi hiyo Felix Tshisekedi, wa kuweka chini silaha na kujiunga na jeshi la serikali au kurudi katika maisha ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mara nyingi kwenje mijadala mingi humu tumekuwa tukilinganisha maendeleo ya baadhi ya nchi na tukibishana kuwa nchi moja imeendelea kuliko nyingine huku wengine wakikataa. My concern ni kutaka...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Katika hali inayoaminika kama njia za kutaka kutuma ujumbe fulani kwa Marekani na wenzake, Mchina ameonyesha zana zake za kivita kwa kufanya gwaride la kihistoria kwenye maadhimisho ya miaka 70 ya...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
At least 25 Malian soldiers are dead and 60 more are missing after militants attacked two army outposts, the government said. Camps in the towns of Boulkessy and Mondoro near the border with...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
House Speaker Nancy Pelosi just announced a formal impeachment inquiry into President Trump over claims that he sought political help from Ukraine Mr Trump has denied impropriety but has...
1 Reactions
98 Replies
9K Views
Ugandan musician-turned-politician Bobi Wine could find himself in trouble for wearing his signature red beret. This is after the Ugandan government on Monday declared red berets and tunic as...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Moto uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19 Katika ajali hiyo ya moto watu 9 wameokolewa na kukimbizwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wazazi na makundi ya wakristo nchini Ghana wamepinga mpango wa kuanzisha elimu ya lazima ya ngono katika shule za msingi na kwa watoto wenye umri wa miaka minne. Maofisa wa sekta ya elimu nchini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The countries that own the most gold revealed Who's stockpiling gold? This precious metal was once so vital that the value of global...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
...hebu mtu athibitishe au akanushe ili nijue nitalapolala usiku huu.
1 Reactions
0 Replies
570 Views
Saudi Arabia imekubali kuwa Mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliuawa ndani ya ubalozi wa Saudia nchini Turkey baada ya mapigano kutokea. Habari hiyo imetangazwa na television ya taifa hilo...
5 Reactions
139 Replies
18K Views
Back
Top Bottom