Boti iliyokuwa akisafirisha Wakimbizi 86 imezama katika pwani ya nchi ya Tunisia huku Wakimbizi 82 wakihofiwa kufariki
Manusura 4 wameeleza kuwa Boti hiyo ilizama katika eneo la Zarzis, watu hao...
Rais Kenyatta akiwa Chato kasema dawa ya kuondoa ukabila na kubaguana ni kuoleana ili kusudi mtoto wa mseto asijijue yeye ni Mtanzania au ni Mkenya...
How ridiculous...
Huwezi kusikia Rais wa...
Pengine sote tumewahi kutukana katika maisha yetu.
Ima ni kutokana na hasira au kwa sababau yoyote ile nyingine, lakini ni sehemu nzito ya lugha inayotumika na watu katika makabila tofuati...
Top 60 Most Innovative Countries In The World For 2019
Based on data from sources including the World Bank, IMF and OECD, Bloomberg’s list annual list takes into account parameters such as...
Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani
Jul 06, 2019 12:55 UTC
Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma...
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Uingereza Jeremy Hunt, ameahidi kuendelea kuishinikiza China kuhusu njia za nguvu inazotumia dhidi ya waandamanaji mjini Hong Kong huku mzozo wa...
Haya bint Hussein ambaye ni Mtoto wa aliyekuwa Mfalme wa Jordan, ametoroka nchini humo pamoja na Watoto wake wawili na kukimbilia nchini Uingereza akimtuhumu mumewe kwa kumnyanyasa
Haya ni Mke wa...
Habari zenu wakuu,
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Nimeleta kwenu huu uzi ili nipate mawazo ya wale waliowahi kuishi katika hizi nchi za scandnavia ( hapa nazungumzia Norway, Denmark na...
Jogoo huyu ambaye mmiliki wake amempatia jina la Maurice, amekuwa kero kwa majirani kwa kuwika kila alfajiri na malambuno kumhusu sasa yanajadiliwa katika mahakama moja nchini Ufaransa...
Mmoja wa waandamanaji akishikilia bendera ya Sudan. Khartoum, Juni 5, 2019.
Viongozi wa jeshi na muungano wa upinzani nchini Sudan wamekubaliana juu ya kuundwa kwa serikali ya mpito ambayo itatoa...
Malawians Entering Statehouse To Kick Out Their President
A video of the masses entering Malawi statehouse to get President Mutharika out of office is currently viral on social media.
The...
Mwanaume anaenda kufungulia ghala za silaha japo kiduchu tuone "yaliyomo yamo". Ni hapo kesho Alhamisi, 04/07/2019. Ayatollah na timu yako kaeni mkao wa kula; mambo yamewiva...
Watu wamekusanyika nje ya kituo kilichoshambuliwa
Shambulio lililofanywa kutoka angani dhidi ya kituo cha kuwahifadhi wahamiaji nje ya mji wa Libya na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 44...
Kuna wakati ukifika tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai
Wahenga walisema dawa ya moto ni moto
Maadui zake wakuu wanamiliki silaha hizo, Marekani na Israeli Mtoa roho
Iran popote pale ulipo...
Live Watch CNN. Habari ya kustua, lakini haijulikani ni habari gani. Obama to speak soon.
President Obama Watched Live Video Of Bin Laden Raid As It Happened
UPDATE 16:22 UTC: The CIA releases...
Habari Wakuu!Naombeni kujua eneo lililo katikati ya Gate la nchi moja na nchi nyingine yaani kwenye boarders linaitwaje kwa kiingereza? Like eneo ambalo "SI" askari wa Nchi A au wa Nchi B...
JAMIE DIMON: 'REGULATION, BUREAUCRACY, AND STUPIDITY' ARE WHAT'S WRONG WITH AMERICA
Calder McHugh
Yahoo FinanceJuly 2, 2019
In a new interview, JPMorgan Chase (JPM) CEO Jamie Dimon suggested...
SIKU KAMA YA LEO MIAKA 31 ILIYOPITA MAREKANI ILIANGUSHA NDEGE YA ABIRIA YA IRAN IKIWA NA ZAIDI YA ABIRIA 200 KWA KILE WALICHO KIITA KUWA WALIDHANI NI NDEGE YA ADUI ILIYO TAKA KUWASHAMBULIA ...
Hawa jamaa kwa ngebe hawawezekaniki. Kumbe ndege yao wanayoisifia sana ni just "carbon-copy" ya fasheni ya zamani sana F-5F.
Iran says its new Kowsar fighter jet has flown. President Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.