Takriban watu 13 wamefariki na wengine 4 kujeruhiwa kwa kiasi kikubwa baada ya baada ya ukuta wa mpaka kuporomoka mjini Mumbai nchini India asubuhi hivi leo baada ya mvua kubwa kugonga mji huo kwa...
Duniiani amani itakuwa kitu adimu sana Kama Marekani haitabadili mfumo wake wa uuzaji silaha katika Mataifa ambayo wana waita washirika wake. Kite do cha Marekani kuiuzia silaha Saudi Arabia...
Mpinzani mkubwa wa Serikali ya Rais, Vladimir Putin, Alexei Navalny amesomewa hukumu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki maandamano yasiyo halali mwezi uliopita
Katika maandamano hayo...
Rais Tayyip Erdoğan: Mwezi ujao Uturuki itapokea ngao ya makombora ya S-400 ya Russia
Jun 13, 2019 06:41 UTC
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, mwezi ujao wa Julai Russia...
Baada ya kampuni ya Google na Facebook kutangaza kua hazitafanya kazi na Huawei, sasa kampuni za Microsoft na ARM pia yatangaza kuachana na Huawei.
Microsoft inajulikana na patent right zake zote...
Kiongozi Muadhamu: Trump hana ustahiki wa kupewa ujumbe, hatufanyi mazungumzo na Marekani
Jun 13, 2019 12:05 UTC
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
Habarini za mchana wakuu.
Nitawaletea kidogo habari kuhusu huyu bwana mdogo kutoka india ambaye dunia imepata kuona mchango wake katika masuala ya kuchunguza ishu za Kiroho pamoja na Hali zilizo...
Maafisa wa polisi wanaotaka kujiunga na kikosi kipya cha ulinzi wa taifa nchini Mexico wamepewa hadi miezi sita kupunguza uzani la sivyo wafutwe kazi.
Maafisa hao wamepewa agizo hilo...
Maelfu ya Wananchi wameendelea na maandamano ya kuupinga utawala wa kijeshi ulioingia madarakani baada ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Omar al Bashir kupinduliwa
Wananchi wa Sudan wanaitaka...
Mfumo maalumu wa kifedha wa INSTEX waanza kufanya kazi
Jun 29, 2019 04:20 UTC
Helga Schmid, Msaidizi wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema kuwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya...
China yapata pigo baada ya nchi za Tanzania na Kenya kusitisha miradi ya mabilioni ya dola.
Rais Magufuli wa Tanzania alieleza sababu kuu ya kusitisha mradi wa bandari ya Bagamoyo ambayo...
The United States have reportedly launched an offensive cyber strike against Iranian missile control systems and a spy network on Thursday amid escalating tensions between the two countries, US...
Trump amsifia Prince Salman kwa kuleta mageuzi Saudi Arabia
Rais Trump akiwa na Prince Salman.
Rais wa Marekani Donald Trump amempongeza Mwana Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman...
Tunakoelekea sasa siyo US Government imetoa kifaa kipya Drone homa ya Jiji Russia na China vichwa vinauma. Siajabu akaitumia kumpiga mirani.
Bofya hapa ujionee
Sunday June 23IN SUMMARY
Marekani imefanya mashambulizi ya mtandao kwenye mifumo ya silaha za Iran na kuiharibu kabisa.
Mashambulizi hayo yametokea siku chache baada ya Rais wa Marekani Donald...
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — The Latest on tensions between the U.S. and Iran and in the Persian Gulf (all times local):
7:55 p.m.
U.S. Secretary of State Mike Pompeo has arrived in the...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anaiwekea vikwazo vikali Iran ikiwemo afisi ya kioingozi mkuu wa dini Ali Khamenei.
Bwana Trump amesema kuwa vikwazo hivyo vya ziada ni kujibu hatua ya...
June 27, 2019
Beijing, China
First China-Africa Economic and Trade Expo opens in central China
Source : CGTN
Chinese President Xi Jinping has sent a congratulatory letter to the first...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.