The Treaty of Versailles, signed exactly a century ago, reshaped Europe in the wake of World War One. So why, within its many hundreds of clauses, does the treaty refer to the decapitated head of...
Wabunge wa bunge la Afrika kutokea mataifa ya Tanzania, Kenya na Msumbiji walivamiwa na majambazi walipokuwa wakitoka uwanja wa ndege wa OR Tambo mjini Johannesburg wakielekea hotelini
Mmoja wa...
Zaidi ya Dola za Marekani 267 milioni (zaidi ya Sh600 bilioni) zilizofichwa na Rais wa zamani wa Nigeria, San Abacha katika benki moja katika kisiwa cha Jersey zimetaifishwa.
Fedha hizo...
Two people were killed and seven injured when an Antonov An-24 passenger plane made an emergency landing on Thursday at an airport in Russia's Buryatia region in Siberia, the area's emergency...
Aliyekuwa rais wa misri mohamedi morsi amefariki dunia akiwa mahakamani baada ya kuzimia.
Morsi alikuwa rais wa kwanza kuchaguliwa kwa demokrasia kabla ya kupinduliwa na jeshi la misri.
Mohamed...
KABUL, AFGHANISTAN
ASKARI polisi wanane wamethibitishwa kufariki na wengine 66 wamejeruhiwa kufuatia shambulizi la kujitoa muhanga katika lango la kukagua usalama.
Taarifa kutoka nchini humo...
Marekani imezionya nchi za Afrika kuwa zisitarajie nchi za magharibi zitazilipia madeni makubwa zinayokopa kutoka China na nchi nyingine. Waziri wa Mambo ya Nje anayehusika na Afrika, Tibor Nagy...
Wakaguzi nchini marekani wamegundua tatizo jipya katika ndege ya kampuni ya Boeing chapa 737 max ambalo huenda likachelewesha kurudi kuhudumu kwa ndege hiyo.
Utawala wa safari za anga nchini...
Maafisa wa polisi wanaotaka kujiunga na kikosi kipya cha ulinzi wa taifa nchini Mexico wamepewa hadi miezi sita kupunguza uzani la sivyo wafutwe kazi.
Maafisa hao wamepewa agizo hilo...
Wabunge katika bunge la Kenya wametofautiana kuhusu kauli ya kibaguzi kuhusu kuwafukuza wageni waishio nchni Kenya hususani Watanzania na Waganda, baadhi ya wabunge wameonesha kumuunga mkono...
Zimbabwe imetangaza leo kuwa itasitisha matumizi ya sarafu za kigeni ambazo zilichukua nafasi ya dola ya Zimbabwe iliyokabiliwa na anguko kubwa kabisa la thamani miaka 10 iliyopita.
Taifa hilo...
Kwa kauli za wabunge wawili wa kenya juu wa watanzania waishio kenya kupata nafasi ya kufanya biashara mf. Kuuza matunda/maduka, wakenya waishio tanzania kukosa ajira.... inaonekana kuna mgongano...
Mkuu wa polisi ya mipaka nchini Marekani, John Sanders, ametangaza kuachia ngazi baada ya kugundulika kwamba watoto wahamiaji wanazuiliwa katika mazingira mbaya, hali ambayo ilifichuliwa kwa...
Vladimir Putin is grooming an action man ‘military hero’ in his own image as his heir apparent, according to speculation in Moscow.
Deputy defence minister Alexei Dyumin, 43, was this week handed...
Nchi za Ulaya kaskazini zimekumbwa na joto kali lisilokuwa na kifani mnamo wiki hii. Mamlaka husika nchini Ujerumani na Ufaransa zimejiweka katika hali ya tahadhari.
Watalaamu wa mambo ya hali...
China imeamua kuacha kuhifadhi pesa zake katika mfumo dollar na sasa inazibadilisha dollar zake kuwa dhahabu kwa kununua dhahabu kwa kasi kubwa ya ajabu, hii imesababisha dhahabu kuoanda kwa kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.