Wahamiaji zaidi ya arobaini wameuawa katika shambulio la angani dhidi ya kambi yao katika moja ya vitongoji vya mji wa Tripoli, mji unaokabiliwa na mashambulizi ya wapiganaji wa Marshal Khalifa...
Facebook, Instagram and WhatsApp users around the world are reporting problems with accessing the social networks and messaging platforms, particularly in the eastern United States and Europe...
Wizara ya biashara ya uchina imekiri kua vikwazo vya kiuchumi vya marekani vitakua na matokeo yasiyo mazuri kwenye uchumi wao. Baadhi ya makampuni ya magharibi yameanza kuhamisha uzalishaji wake...
Aliyekuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya kidijitali katika ikulu nchini Kenya Dennis Itumbi amezuiwa na polisi kuhojiwa kuhusu barua ya njama ya kumuua naibu rais William Ruto.
Itumbi amekamatwa na...
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini Urusi katika jimbo la Irkutsk imesababisha vifo vya watu 12 . Huku ikisababisha mafuriko.
Makamu wa kwanza wa waziri mkuu wa Urusi Vitaly Mutko...
Kama kuna yeyote anaefuatilia habari za kimataifa nadhani anaona kinachotokea sasa Kisiwani HongKong kundi la Vijana Waandamanaji wamevamia Jengo la Bunge na kuweka Kambi baada ya kutokubaliana na...
TRIPOLI (Reuters) - An air strike late on Tuesday hit a detention center for mainly African migrants in a suburb of the Libyan capital of Tripoli, killing at least 40 people and wounding 80, a...
Nchi ya Urusi imepeleka melivita kali na ya kisasa kabisa nchini Cuba kwa mwaliko wa serikali ya Cuba.Mili hii imeleta mashaka makubwa sana Huko Marekani,imeongeza hali ya kutoaminiana kati ya...
Rais wa Marekani na Kiongozi wa Korea Kaskazini leo wamefanya tukio la kihistoria baada ya kukutana, kupeana mikono na Trump kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini...
Trump Says He’ll Allow China’s Huawei to Buy From U.S. Suppliers
Donald Trump, left, shakes hands with Xi Jinping during a meeting on the sidelines of the G-20 summit in Osaka, June 29...
Japan yaweka vikwazo kwa bidhaa ya teknolojia kuuzwa Korea Kusini
Japan imeamua kuweka vikwazo kwenye bidhaa za teknolojia zinazouzwa Korea Kusini kwa sababu mahusiano kati ya nchi hizo mbili...
Russia says many countries standing by Iran in case of any US ‘crazy’ action against Tehran
Wed Jun 26, 2019 03:29PM [Updated: Thu Jun 27, 2019 11:32AM ]
Home
Iran
Politics
Russian presidential...
Korea Kaskazini imeitaka Korea Kusini kusitisha juhudi zake za upatanishi katika mazungumzo yake na Marekani.
Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na kiongozi wa Korea Kusini Moon Jae In mjini...
Media za magharibi zinauleble utalwala wa iran kama wa kishenzi na hawa"behave" kama taifa la kawaida.
Imefika hatua Marekani imeweka jeshi la iran (IRGC) kuwa kundi la Kigaidi pamoja na vikwazo...
Wanaume kumi na sita wamekamatwa baada ya umati wa watu kumpiga vibaya kwa fito afisa mwanamke wa misitu wakati maafisa wa polisi wakitazama katika jimbo la kusini nchini India Telangana.
Umati...
Takriban watu 13 wamefariki na wengine 4 kujeruhiwa kwa kiasi kikubwa baada ya ukuta wa mpaka kuporomoka mjini Mumbai nchini India asubuhi hivi leo baada ya mvua kubwa kugonga mji huo kwa siku...
Takribani watu 228 wameripotiwa kufariki nchini Australia kutokana na homa ya mafua huku wengine 100,000 wakiuguza virusi hivyo, idadi kubwa ikilinganishwa na mwaka wa 2018 ambapo vifo 58,824...
A Brazilian air force officer travelling with President Jair Bolsonaro's G20 team has been arrested after being caught with 39 kilograms of cocaine.
The officer was detained in Seville, Spain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.