Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza...
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya...
Naam Silaha za kutosha zimepelekwa Israel na Iran
Israel yuko na USA, UK, Italy na Germany
Iran yuko na Russia, China na North Korea
Africa tutapaswa kuchagua upande
Ahsanteni sana 😄
Wanaukumbi.
🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi.
Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu...
Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi.
Jeshi la Israel limesema limefanya...
Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi...
News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel...
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine...
Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu.
Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia...
Wakuu,
Kuna hii video inasambaa.
Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao kizito cha baraza la mawaziri kufanyika saa 1:30 usiku huu huko Kirya makao makuu ya Jeshi Tel Aviv.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
========
October 20...
Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda...
Wadau hamjamboni nyote?
Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha...
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha...
Daaaaaaaah...... Nakosa la kusema kabisa. Sielewi. Nadhani Hezbollah na Hamas sasa wabadilishe mbinu. Nani anakuwa anavujisha uwepo wao? Hii wadau imekaaje kitaalamu,kimbinu na kimedani...
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha...
Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024
Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living...
Kampuni hiyo inayotoa Huduma za Bandari yenye Makazi yake Dubai, imetangaza kuporomoka kwa faida ya shughuli zake duniani kote kutoka Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2023 hadi Tsh. Bilioni 718.15 mwaka...
Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu na matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu. Lebanon, Yemen, Palestine, Syria, wanaendelea kupata matokeo...
Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.