Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda...
Iran ndiye Mfadhili Mkuu wa makundi yote ya kigaidi Mashariki ya Kati.
Iran inafadhili sio tu pesa, Bali hata zana za kivita, utaalam na Mafunzo kwa Magaidi yote ya Hamas, Hezbollah, Houth na...
Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video...
Wanakumbi.
Kama unavyoona, mitaa ya Haifa si salama tena.
Pia angalau athari moja iliripotiwa karibu na mji wa Safad kufuatia msafara wa hivi punde kutoka Lebanon kuelekea mjini.
Angalau saba...
Nimemuona Seneta mmoja Kupitia BBC kule Australia akipiga kelele mbele ya King Charles akisema " Not my King"
Seneta yule wa kike amechukuliwa na Watu waliovaa Suti na Tai na kutolewa nje kwa...
Iran imekimbilia kwenye kujitetea, ila waambiwa wasubiri papo hapo kipo tu, na muda wote wawe macho yao yanaangaza angani maana hawajui watashukiwa vipi. Vita vya kisaikolojia
=========
Iran...
Linaweza kuonekana kama wazo mfu lakini huo ndiyo ukweli. Tangu zamani vita ndiyo njia ya kurekebisha mambo na kubalance power.
Ukiangalia kwa undani matatizo yanayowakabiri vijana ni karibu...
Ukimwona unaweza sema ana 60. Daaah... Jamaa ana kula nini? Huyu jamaa leo kafikisha miaka 75. Na ana nguvu fresh tu. Na huko Mashariki ya Mbali wanamchukia sana.
Pia na wakazi wa Mashariki ya...
Meli mbovu ile ilizama au unakuta iliharibika unakuta ipo beach au chini kabisa ya maji huwa zinajulikana kama shipwreck.
Kuna jambo nililiona hapo tarehe 15 hii january ambalo si la...
Wakuu Salaam,
Naomba kuuliza kuhusu Taifa la Israel, hiv hawa jamaa pesa za kuendesha vita vyote hivyo wanapata wapi? Hamas, Hizbolah, Houthi, Iran ,makundi mengine Syria, Iraq kama tu vita ya 78...
FALSE FLAG? Drone strike on Netanyahu home came grom area in Lebanon controlled by IDF
Hal Turner World October 20, 2024
Radar and satellite imagery from the Drone strike which hit the private...
leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel.
Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na...
Sifichi, ile mara ya kwanza nasikia kuwa Iran kamshambulia Israel nilibisha sana na kuapa kabisa kuwa kamwe hawezi. Hana ujanja huo.
Nilipotembelea vyombo vyA habari kujiridhisha na kukuta ni...
Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake...
Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao...
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha...
Kisa cha kwanza.
May 20, 1948 UN ilimteua Count Folke Bernadotte kuwa mpatanishi mkuu katika mgogoro wa Israel na Palestina.
Mapendekezo ya Count Folke Bernadotte
1. Kurejesha wakimbizi wa...
Chanzo cha picha,EPA
Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar
Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi...
Mfalme wa Udachi (Netherlands) ameomba radhi kutokana na nchi hiyo kupata faida kubwa iliyotokana na biashara ya kuuza watu mnamo karne ya 17.
Katika hotuba yake kwa taifa kuadhimisha miaka 160...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.