Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu.
Thorpe...
Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti...
Ukraine na Palestina wote wako katika vita vya muda mrefu dhidi ya mataifa makubwa yenye nguvu na yanayopigana vita kwa ukatili mkubwa sana.
Kati ya hawa wawili nani angalau ana ishara ya...
Kwa mujibu wa ripoti mpya iliyothibitishwa na Forbes, Elon Musk sio tena bilionea namba moja duniani; nafasi hiyo imechukuliwa na Bernard Arnault na familia yake, wenye utajiri wa dola bilioni...
Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Rais wa zamani wa Peru mwenye umri wa miaka 78, Alejandro Toledo amehuhukumiwa hapo jana miaka 20 na miezi sita jela kwa kosa la kula rushwa.
Hukumu hiyo ni kutokana na kashfa ya ufisadi...
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!
po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana...
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku...
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani...
Haya mambo ya dini haya aisee noma sana. Hapa hata uwe mpagani aisee huwezi sema anae sababisha Yuko sahihi.
A Palestinian girl from #Gaza carried her injured sister on her back, barefoot, to...
Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️,
Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue...
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya...
ZAMBIA: Rais Hakainde Hichilema amewafuta kazi Majaji watatu ambao awali aliwasimamisha kazi kwa madai ya Kukiuka Maadili ya Mahakama, hali iliyoibua shutuma kuwa Rais anaingilia Kisiasa kwenye...
Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa...
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
Uvamizi wa Hamas wa October 7 ulikuwa ni kujipatia Mateka wa kutosha Ili baadae waweze kuswap na wafungwa wa kipalestina walioko kwenye Magereza ya Israel
Lengo la Hamas lilifanikiwa kwani...
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana
Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki...
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran.
Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa...
Rasmi nchi ya Misri imepatiwa cheti cha kutokuwepo kwa malaria katika nchi hiyo na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo shirika hilo liliita mafanikio haya ya kihistoria.
Soma pia:
Djibout...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.