International Forum

News and Stories from rest of the World
Waandishi wa habari wakikimbilia hotuba ya msemaji wa Hezbollah kuchukua mic zao na kuondoka baada ya msemaji wa IDF kutoa agizo la Evacuation.
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mvamizi huyo hajulikani ni nani na katumwa na nani na madhara kiwango gani Taarifa za ndani bado hazijatolewa kikamilifu ila tukio hilo limetokea kweli Tuwaombee taifa...
0 Reactions
1 Replies
357 Views
Hii akili mnemba au akili bandia( AI ) Imekuwa shida sasa ================ Mwanamke aitwae Megan Garcia wa Florida Nchini Marekani, amefungua kesi Mahakamani kuishtaki Kampuni moja ya California...
0 Reactions
4 Replies
315 Views
Wakuu Habari Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo...
6 Reactions
16 Replies
916 Views
Hizi ni habari kutoka Mashariki ya DRC. Huo mji ulikuwa chini ya vikundi vya wanamgambo wa M23 wanaosaidiwa na Serikali ya Rwanda
7 Reactions
13 Replies
906 Views
Niaje waungwana Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni...
26 Reactions
213 Replies
5K Views
Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo...
16 Reactions
300 Replies
10K Views
Nizidi kuwatia moyo ndugu zetu wa Chadema kwamba wasikatishwe tamaa na maneno ya Katibu mkuu wao wa zamani Chadema fuatilieni yanayojiri kwa rafiki yenu Trump wa Republican mtagundua Tundu...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka...
0 Reactions
2 Replies
229 Views
Moderator nikuombe uhamishe Uzi huu jukwaa la siasa Wadau hamjamboni nyote? Leo ni siku ya kupiga kura za maoni kwa Wanachama wa CCM nchi nzima Hadi muda huu hatujapiga kura za maoni...
1 Reactions
2 Replies
221 Views
Je, Iran ilitengeneza vipi kombora la hypersonic ambalo linaweza kufika Israel kwa 'sekunde 400' licha ya vikwazo? Maelezo ya picha,Teknolojia ya kombora la Balistiki ilitengenezwa wakati wa Vita...
2 Reactions
9 Replies
804 Views
Ninayo huzuni kutangaza kifo cha Mazen Ahmad ambaye ni Mkuu wa Polisi wa Hamas. Mina la faadhina Rajuun. Tumwombee asipunjwe thwawabu zake peponi. Amina. Webabu Ritz FaizaFoxy Adiosamigo na kimsboy
7 Reactions
21 Replies
799 Views
Pole kwa wahanga wa ugaidi huu nchini Turkey ulioacha baadhi ya watu kufariki. Several killed in a terrorist attack against Turkish Aerospace Industries (TAI) in Kahramankazan, Ankara
1 Reactions
6 Replies
548 Views
Unamjua huyo mmarekani mwenye asili ya afrika? anaitwa Marc Lemont Hill aliwahi kufukuzwa CNN , eti ni profesa huyo yupo Aljazeera, teh teh
0 Reactions
5 Replies
317 Views
Inasemekana Israel alikua na mpango wa kuishushia mvua ya mabomu Iran siku hizi mbili. Israel alikua anashea mpango wake huo wa kuishambulia Iran, lakini kwa bahati mbaya/nzuri zimevuja...
4 Reactions
145 Replies
9K Views
Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote...
3 Reactions
14 Replies
459 Views
The International Monetary Fund (IMF) has declared Russia the fourth largest economy globally by purchasing power parity (PPP). Russia's economy has outpacing the growth rates of all advanced...
5 Reactions
18 Replies
915 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hezbollah yaanza kujibu mapigo kibabe Taarifa kamili hapo chini: Two Israeli reservists were killed and three others were wounded on Tuesday, as the Israeli military...
1 Reactions
7 Replies
825 Views
ukimlenga mfalme hakikisha humkosi, alichofanya Ali Khamenei leo ni mwanzo wa safari yake kuelekea Ahera lakini atachokosea ni kujilinda zaidi dhidi ya Jeshi la Israel kwa kudhani atashambuliwa na...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom