Nawakaribsha wana JF msikilize wenyewe hotuba aliyotoa mtoto wa mmoja wa founders of Hamas, aliyoitoa kwenye Bunge la Ulaya.
Kwa kifupi jamaa huyu anauonya umoja wa ulaya kuwa dhana nzima ya...
Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni...
Kuna madai ya uasi wa askari 18 Kati ya 40 wa Korea Kaskazini huko Urusi, askari hao waliondoka kituo chao(post) huko Kursk na kutokomea kusikojulikana, inadaiwa askari wa Urusi wanawatafuta...
Wanaume waliokwepa kujiunga na programu ya Jeshi na kwenda klabu kula bata huko Ukraine wamekutana nacho baada ya Jeshi la Nchi hiyo kuanzisha msako wa kuwakamata Wanaume wote waliokwepa programu...
Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine...
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa tangu vilipoanza vita vya Gaza hadi sasa imetekeleza operesheni 961 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kwa mujibu wa...
Habari za uhakika na kupendeza uharifu sasa umepungua na waharifu wamegeuka kuwa watakatifu. ni baada ya waharifu kufikishwa mahakamani na kupewa chaguo la kujiunga na jeshi na kupelekwa Ukraine...
Wakuu,
Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake?
Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa...
Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel.
Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana...
Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa,
Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa...
Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya...
Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua!
Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
Haya yamewakuta waziri Blinken na ujumbe wake walipokuwa Israel:
Ataamini huyu kuwa Nasrallah, Haniyeh au Sinwar ni marehemu?
https://m.youtube.com/watch?v=sG0ss7AfVvM
Ama kweli vishindo vya...
Katika mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwezi Septemba mwaka huu, China ilitangaza mpango wa kufungua zaidi soko lake na kuzipa...
Hal Turner World October 24, 2024
Video has emerged from Bucks County, Pennsylvania, showing what appears to be an ELECTION WORKER, opening mailed-in Ballots and, if they're for Trump, TEARING...
Chama tawala cha Msumbiji, Frelimo, kimeendelea kushikilia madaraka katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu, na kuongeza utawala wake wa miongo mitano katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika...
Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua...
Iranian network announces auction of Nasrallah's ring to aid Lebanese people, starting bid at $113,000
Lebanon News
2024-10-23 | 17:28
Mtandao wa "Ofogh" wa Iran ulitangaza kwenye akaunti yake ya...
Hezbollah wamekiri ameuawa
22 October, Israeli tena imerudia madai yake kwamba imemuua kiongozi namba mbili wa Hezbollah na mjumbe wa baraza kuu la Hezbollah bwana Heshem Safieddine mwanzoni mwa...
Naam, unaweza kudhani ni mzaha lakini ndivyo ilivyo.
Mwaka huu viongozi wengi wa ngazi za juu kutoka Ulaya na Wanadiplomasia mbalimbali wamekua wakipishana huko District of Columbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.