Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja.
Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa...
Nimetembelea baadhi ya miji hapa Africa. Miji Hali ya hewa ni kawaida. Kuna kipindi kunakuwa na joto lakini sio wakati wote
Ila jiji la Dar es salaam linashangaza sana. Kwanini kuna joto la...
Jeshi la Israel 🇮🇱 lilituma zaidi ya ndege 100 kwenye anga la Iran 🇮🇷 na kushambulia kambi za jeshi zaidi ya 20 ,huku Iran ikijitahidi kutumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kupunguza madhara...
Bishop David Oyedepo
Kanisa la Winners Church ni moja ya makanisa makubwa sana Ulinwenguni likiwa na matawi dunia nzima ikiwemo Tanzania na Makao makuu yake Yake yako Lagos Nigeria likiwa...
Mwanaume mmoja amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya gari la mizigo kugonga kituo cha basi karibu na Makutano ya Glilot asubuhi ya leo, Hospitali ya Ichilov jijini Tel Aviv...
Wakristo, Waislamu na Uyahudi wanaamini Isaka na Ishmael walikuwa watoto wawili wa Ibrahim. Mjadala uliobaki ni yupi alikuwa mwana wa ahadi au alitaka kutolewa kafara,
Tukiacha hayo kuna hili...
Wadau hamjamboni nyote?
Kikao cha Waziri Mkuu Benjamin Netanyau na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama yaani IDF, shin bet na mossad kilichoketi muda mfupi uliopita kimeamua kufanya shambulizi...
Kiukweli kuna mambo nimeona nimejifunza kitu na kama taifa tunapaswa kujifunza kitu
Kwanza, hili shambulizi limetokea kama Suprise tofauti na lile la mwezi April ambalo Israel walijiandaa vya...
Huku Africa tukiwa bize kubishana kupeleka maji vijijini wenzetu Iran wanaanza kuzalisha ndege hatari za kivita za SU-30 na SU-35
[emoji298]️BREAKING
Iran has received a licence from Russia to...
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel.
Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza.
---
Senior U.S. Officials, including President Joe...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho...
Takriban Mahujaji 323 kutoka Misri wamekufa wakati wa Hijja ya Waislamu huko Mecca, Saudi Arabia, ambapo karibu wote walikufa kutokana na magonjwa yanayohusiana na joto, wanadiplomasia wawili wa...
Wanaukumbi.
Vyombo vya habari vya Israeli:
🇱🇧🇮🇱 Helikopta ya 10 ya kijeshi ilitua katika Hospitali ya Sheba-Tel Hashomer, ikiwa na wanajeshi na maafisa waliokufa na waliojeruhiwa katika...
This is followed by what was claimed by the jews yester night that they bombed Iran while the fact is all missiles were destroyed by air defense system.
Now, Iran is going to retaliate back and...
Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi.
Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi...
Tayari Israel inaitandika Iran inalipua maeneo nyeti
https://www.youtube.com/live/GggsAxvY4Q0?si=sKjzE7_DpA2gYIxe
---
At least one person was killed in a fire at the small Pars Petro Shushtar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.