Sasa hapa nachanganyikiwa. Sisi huku tunasema Ukraine anasaidiwa na NATO. Putin anasema bado ila wakijaribu atawapasua. Sasa lipi ni lipi?
1. Je Ukraine anasaidiwa na NATO?
2. Je Onyo ambalo...
Umaarufu unaokuwa kwa kasi kwa Mtandao wa TikTok umemfanya mwanzilishi mwenza wa kampuni mama yake, ByteDance, kuwa mtu tajiri zaidi wa Uchina.
Kulingana na orodha ya Utajiri iliyotolewa na...
Kama ulikuwa hujui kuwa Rais wa Lebanon anatakiwa lazima awe Mkristo, wacha nikufahamishe. Ili uelewe makala hii vizuri, wacha kwanza nikufahamishe kitu kinachoitwa Hizbollah, kwa sababu huwezi...
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo
Wadau...
Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora
Kumbe shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Badala yake zilienda hadi anga...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni huzuni kubwa Askari wanne wakipoteza maisha kwenye mapigano makali na magaidi ya Hamas huko Gaza
Majina ya wahanga yametajwa hapo chini kwa kimombo:
---
Four soldiers...
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa...
Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama...
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na...
Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda...
Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate
By Emanuel Fabian
Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the...
Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda.
Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali...
Nchi ndogo yenye ukubwa wa 21, 600+ sq.k lakini inapambana na manchi makubwa na sio moja. Kwa sasa Israel inachapa Palestine, Iran, Lebanon, kambi za kijeshi zilizopo Syria na Iraq.
Huu ni uwezo...
Umoja wa Ulaya umesema umebaini ukiukwaji wa taratibu wakati wa Kuhesabu Kura na hivyo baadhi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanayotangazwa hayaendani na uhalisia wa Kura zilizopigwa
Taarifa ya...
Wanaukumbi.
Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran.
Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni.
Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe...
Israel imetumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kukabiliana na mashambulizi ya makombora na droni katika miezi ya hivi karibuni.
Imeshambuliwa na Iran, Hezbollah kutoka Lebanon, Hamas kutoka Gaza na...
Picha za satelaiti zilizochambuliwa na BBC zinaonyesha uharibifu wa maeneo kadhaa ya kijeshi nchini Iran kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Jumamosi.
Ni pamoja na tovuti ambazo...
Washambuliaji wenye silaha waliwavamia na kubadilishana risasi na vikosi viwili vya doria ya polisi katika jimbo la Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, na kuua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.