International Forum

News and Stories from rest of the World
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Hesbollah wameonesha uwezo wao katika uwanja wa vita kwa kuviwinda vifaru vya adui na kuviangamiza pamoja na wanamgambo waliomo ndani ya kifaru.......tupate taarifa zaidi:- ..⚠️...
7 Reactions
70 Replies
1K Views
Kama kawaida Israel wakipiga wanarudi wanasema cheers na Netanyau kama hapa chini anavyofanya. Anyway. Jamaa walikuwa na maeneo muhimu ya Kimkakati ambayo walienda kupiga. Wale mademu walitumwa...
9 Reactions
105 Replies
4K Views
Huko nchini Brazil Influencers wawili wameripotiwa kufariki dunia baada ya kukataa kuvaa Jaketi za kuokoa maisha walipokuwa kwenye boti ya mwendo kasi iliyozama pwani ya Brazil. Walikataa kuvaa...
3 Reactions
4 Replies
583 Views
Mgombea urais wa chama Republican huko USA, Donald Trump ametangaza rasmi kususia midahalo yoyote ya urais inayomkutanisha na Kamala Harris. Uamuzi huu umekuja siku moja tu baada ya Trump...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Rapa wa Marekani Curtis Jackson, maarufu kama 50 Cent, amekataa ofa ya zaidi ya TSh bilioni 8 aliyopokea ili kutumbuiza kwenye kampeni za Donald Trump. Katika mahojiano na Power 105.1 New York, 50...
2 Reactions
4 Replies
488 Views
kwa kile tunachosema on the Israeli air raids into Iran day before yesterday. This was more than a precision strike, it was a clear demonstration of capability, intent and will. Hii ilikuwa zaidi...
24 Reactions
80 Replies
3K Views
Baraza la vita la Israel limepitisha azimio la kuishambulia Iran kutokana na shambulio la mauaji kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Haya yanajili baada ya picha za satellite...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jiji limebaki tupu wakazi wote wamekimbia IDF kuanza mashambulizi ndani ya jiji muda wowote kuanzia sasa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: October 30, 2024...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa...
13 Reactions
76 Replies
3K Views
Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania). Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya...
3 Reactions
7 Replies
569 Views
Bunge la Israel limepiga kura kupitisha sheria ya kupiga marufuku shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina (Unrwa) kufanya kazi ndani ya Israel na Jerusalem Mashariki...
3 Reactions
11 Replies
523 Views
Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa...
2 Reactions
4 Replies
960 Views
⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️ 𝗣𝗶𝗰𝘁𝘂𝗿𝗲𝘀 𝗼𝗳 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗰𝗲𝗽𝘁𝗲𝗱 𝗜𝘀𝗿𝗮𝗲𝗹𝗶 𝗠𝗶𝘀𝘀𝗶𝗹𝗲𝘀 𝗥𝗲𝘃𝗲𝗮𝗹𝗲𝗱… Keep in mind these were Israel’s “top secret” missiles. This missile is either the “𝗥𝗼𝗰𝗸𝘀” or “𝗚𝗼𝗹𝗱𝗲𝗻 𝗛𝗼𝗿𝗶𝘇𝗼𝗻” both...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametuma ujumbe kuwa uongozi wa Kiongozi moya wa Magaidi ya Hezbollah, Naim Qassem, takuwa wa muda mfupi tu. Soma Pia: Waziri wa Ulinzi wa Israel Jenerali Yoav Gallant...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Ni mwanaume Ni mwanaume mwenye msimamo Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli , Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke...
2 Reactions
3 Replies
261 Views
Russia decapitated:Russia Early-Warning (Nuclear) Missile Radar ATTACKED MAY 24, 2024 One of Russia's absolutely key over-the-horizon, nuclear-early-warning radar sites has been hit by drone...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Uwezekano ni mkubwa Sana Kwamba Mwamba wa Dunia hii Marekani ikapata Rais mwenye Jinsia ya Kike, Ndio huyo atakuwa Rais wa Dunia Ataungana na Spika wa Dunia Dr Tulia PhD Tuzidi kuwaombea 😄
18 Reactions
133 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake. Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi...
14 Reactions
83 Replies
3K Views
Makubaliano yamefikiwa hii leo huko Beijing nchini China kati ya Hamas na chama cha Hamas ambacho kina mamlaka fulani huko ukingo wa magharibi. Tangazo hili lilitolewa na waziri wa mambo ya nje...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom