Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60...
JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la
Nabatieh kusini mwa Lebanon.
Taarifa ya jeshi la...
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi. Jina la Badenock ni la Ukoo wa Mumewe...
Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa...
‼️ S-500 Anti-aircraft Reach
Russia has deployed S-500 air defense systems in Crimea.
Here are some basic specifications to consider in relation to the S-500:
The S-500 has a 600km range in an...
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za...
Wajuzi
T14 Armata
100 others
and 100 others
ILAN RAMON
Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za...
Wakuu jana jioni nimecheka sana. Yule jamaa aliyeongoza jopo la watu walionisomea Albadiri iliyogonga mwamba (Wameahidi leo saa 10 watanisomea Albadiri. Ninasubiri kwa hamu kubwa sana) jana kaja...
Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu...
Wanadai Iran ndo ilishambulia makazi ya Netanyahu
Weledi wa mambo tunafahamu ukweli kuwa ile operesheni yao kuishambulia Iran ilifeli so wanataka kurudia upya!!
Wakati huo huo Iran imetangaza...
Operesheni True Promise 3 inakuja Safari hii wazayuni wakimbie nchi tu maana Iran inaenda kufanya jambo zito
Hawa Wairan ni vichaa ile Sera ya Israel ya ukiua mwisrael mmoja kwenu wanakufa watu...
Utangulizi
Za leo wana JF.
Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli.
Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii...
Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space...
Serikali ya Kisiwa cha Mauritius imezuia upatikanaji wa Mitandao ya Kijamii kuanzia leo Ijumaa, Novemba mosi hadi Novemba 11, 2024 Siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu
Taarifa iliyotolewa na...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na...
Zaidi ya wanajeshi 40 wa Chad wameuawa baada ya kituo chao kuvamiwa Jumapili jioni, ikulu ya Chad imesema. Rais Mahamat Déby ameagiza operesheni ya kufuatilia wahusika, kwa mujibu wa taarifa...
Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel:
November 1, 2024
Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking
By Reuters
Today, 1:10 pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.