International Forum

News and Stories from rest of the World
Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe...
2 Reactions
1 Replies
370 Views
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel. Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Esmaeil Baghaei amekosoa kile anachokiita uwepo wa Marekani unaotishia kuvuruga amani baada ya kutumwa kwa ndege za B-52 katika eneo hilo. "Siku zote...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza...
5 Reactions
25 Replies
997 Views
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema...
19 Reactions
65 Replies
2K Views
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
17 Reactions
63 Replies
2K Views
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground...
20 Reactions
176 Replies
4K Views
Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani. Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na...
5 Reactions
14 Replies
674 Views
Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani. Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
3 Reactions
135 Replies
3K Views
Waafrika wanaoishabikia urusi hudai kuwa haikuwa kuwa na makoloni afrika kama mabeberu. Wasichojua ni kwamba urusi ilikuwa na makoloni makubwa sana huko Asia na bado inayamiliki hadi leo pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa...
39 Reactions
132 Replies
4K Views
| Jamhuri ya Nicaragua, Republic of Nicaragua au República de Nicaragua ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini. Nicaragua yenye ukubwa wa 129,494 Square Kilometers sawa na 49,998 Square...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
USA ni habari Nyingine. Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50 Ni haki Marekani kutawala dunia
2 Reactions
4 Replies
403 Views
Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la...
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Source: Al Jazeera KUTOKA 7:3 "Mungu akamwambia Musa, nami nitaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na nitazifanya ishara za ajabu katika Nchi ya Misri"
6 Reactions
22 Replies
693 Views
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni. Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran...
13 Reactions
152 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF yaua Kamanda mwingine mwandamizi wa Hezbollah aendaye kwa jina la Jafar Qasir. Aliongoza kitengo maalumu almaarufu unit 4,400 kilichopewa jukumu la kusafirisha...
1 Reactions
9 Replies
611 Views
Back
Top Bottom