[emoji298]️Kwanini Wayahudi wanawachukia Wakristo Kiasi hiki?Marufuku misalaba makaburini.
Israel asilimia zaidi ya asilimia 18% ni waislam, lakini wakristo ni asilimia 1.9% tu waliwapunguza kwa...
Alipewa hifadhi miaka 30 Italy uzunguni, ghafla kaingiwa na ile mizuka yao na kuanza kuhubiri ugaidi wa kiislamu kwamba waislamu wote waanze vita dhidi ya wasiaomini kwenye hiyo dini.
Swali la...
Kwa wale wa wisdom mnafahamu kuwa kuna hizi zinazotengenezwa zipo nyuma ya nani? kuna uwezekano raisi wa marekani kuwa mwanamke na si trump. kumbukeni.
---
Did The Simpsons hint at Kamala Harris...
Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi
Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti.
Tayar Senate na...
Wanaukumbi.
Wanajeshi wa Israel wanabeba maiti zao kwa kuvizia huku wakilia kwa uchungu baada ya kupigwa na Hezbollah kwenye mipaka ya Lebanon.
Cha kushangaza wao wanauwa watoto na wanawake Gaza...
Uwanja wa siasa nchini Marekani umezidi kuchangamka na hii ni baada ya mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, hivi karibuni kusema kuwa hata kama humpendi yeye kama yeye ni muhimu sana...
Aisee hawa jamaa ni level nyingine kabisa
Jamaa wana hili kombora linaitwa Khorramshahr
Hili kombora wanadai linapiga kilometa 2000 ila ukweli na taarifa zilizopo ni kuwa hili linatembea...
Ndio, lile n taifa la vibopa bwana.
Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi.
Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la...
Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa...
Marekani inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Tar 5 Novemba. Kukiwa na wagombea sita wa kiti hicho ambapo wagombea nane, ambapo wagombea wawili kati ya hao ni wasio na vyama vya siasa.
Mbali na...
Wadau hamjamboni nyote?
Mamilioni ya dola za kimarekani Kwa magaidi wakiachia huru mateka wa Israel. Taarifa zaidi hapo chini kwa kimombo:
==========
An Israeli official confirms a Channel 12...
Ni hivi karibuni tu dunia imetoka kuadhimisha siku ya Tiba Asilia, ambapo mchango wa matibabu haya ya jadi kwa sasa umekuwa ukisaidia sana katika sekta ya afya. Kwa karne nyingi, maarifa ya...
As they say, "Power dreams of more Power"
Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani...
Waasi wa Houthi wa nchini Yemen wamesema kwamba wamerusha makombora kulenga mji wa Riyadh,nchini Saudi Arabia.
Saudi Arabia imefanikiwa kutungua makombora hayo mawili aina ya ballistiki...
Report by; Titu Datta Gupta & Sharier Khan
The costly power from Adani’s 1,600MW coal power plant in India is one of the many reasons why Bangladeshis are paying significantly higher rates to use...
Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa...
Meli ya Kivita ya Israel imepita Suez Canal ikiwa na bendera ya Misri na Israel kitendo kilichowachefua baadhi ya Wamisri.
=======
A small group of protestors gathered on the steps of the...
Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika.
Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala...
Niaje waungwana
Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa.
Sasa tumeona wenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.