International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Australia imeonyesha njia baada ya kupiga marufuku mtoto chini ya miaka 16 kuwa na akaunti ya. mitandao ya kijamii ili kulinda maadili. Nimezungumza na maelfu ya wazazi, babu na...
1 Reactions
3 Replies
201 Views
Serikali ya Australia imetangaza mpango wa kuanzisha sheria inayozuia watoto chini ya miaka 16 kutumia mitandao ya kijamii Hatua ya kuanzisha sheria hii ni kwa lengo la kupunguza athari...
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana...
7 Reactions
81 Replies
3K Views
March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11 S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸 Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina...
20 Reactions
165 Replies
6K Views
Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans...
2 Reactions
5 Replies
367 Views
Makamu wa Rais wa Marekani ambaye alikuwa Mgombea Urais wa Marekani 2024 aliyeshindwa dhidi ya Rais Mteule Donald Trump, amempigia simu Trump na kumpongeza kwa ushindi kitendo kinachoashiria...
4 Reactions
15 Replies
974 Views
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden...
8 Reactions
30 Replies
907 Views
Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu...
2 Reactions
14 Replies
551 Views
Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya. Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua...
3 Reactions
6 Replies
579 Views
Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama...
2 Reactions
13 Replies
710 Views
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao. Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama...
0 Reactions
3 Replies
207 Views
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024. Akizungumza na Sinclair Media...
0 Reactions
7 Replies
780 Views
Wanaukumbi. CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua." Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Genocide Joe, Holocaust Harris, and Butcher Blinken Their legacy? A pointless proxy war in Ukraine that failed to defeat Russia🇷🇺, hundreds of thousands dead in a completely...
2 Reactions
5 Replies
329 Views
Uchaguzi duniani kote una Mbinu mbalimbali za Ushindi Mbinu mojawapo ni kutumia Dola kubakia madarakani na Mbinu nyingine ni Chama tawala na Tume Huru ya uchaguzi kuchezea Data za Kiuchaguzi au...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trump, Hilary alibwagwa. Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, Kamala kabwagwa. Ni wazi kabisa kuwa wamarekani bado...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine. Trump mara kwa...
17 Reactions
25 Replies
1K Views
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa...
19 Reactions
89 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Irian Bwana Esmaeil Baghaei, leo Jumatatu amesema Tehran itatumia silaha zozote kushambulia Israel mwishoni mwa wiki hii, kutokana na mashambulio waliyoyafanya kwa Iran...
17 Reactions
102 Replies
4K Views
Back
Top Bottom