aljazeeraenglish
The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and...
Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.
Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.
Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani...
Katika mahojiano yake ya kwanza tangu alipate ushindi wake, rais mteule Donald Trump alisema "hakuna bei" kwa mipango yake ya kufukuzwa nchini. Akizungumza na NBC News jana, alisema:
Kipaumbele...
Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu.
Haya mtaarifu na...
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa...
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni...
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris
Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald...
Wakuu,
Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti...
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.
Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.
Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za...
Habarini wakuu.
Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .
Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?
Kwa Nini...
Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali...
With Trump's US election win, is Europe now on its own?
EU and NATO members were not shocked by Donald Trump's victory in the US presidential election but are now bracing for wild transatlantic...
Duma Boko ameapishwa rasmi kama Rais wa Botswana leo, Ijumaa Novemba 8, baada ya chama cha Botswana Democratic Party (BDP) kupoteza mamlaka yake katika uchaguzi uliofanyika Oktoba.
Baada ya...
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa.
Trump wannabe...
Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za...
My Take: Democrats wanajenga Majina ya watu binafsi badala ya chama. 👇👇
======
Over the last few weeks and through Election Day, millions of Americans cast their votes – not just for president...
[emoji298]️BREAKING
For the first time during this war Hezbollah has used precision Fateh-110 ballistic missile against a target in Tel Aviv
Kombora limeshambulia hadi uwanja wa kimataifa wa...
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo...
POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel...
07 November 2024
Maputo, Mozambique
MAHAKAMA YA KIKATIBA MOZAMBIQUE YAKUBALI MAOMBI YA CHAMA CHA PODEMOS, KURA ZIRUDIWE KUHESABIWE
https://m.youtube.com/watch?v=AVFt6_Ok56U
Chama cha upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.