Kwa miaka mafanikio ya Teodoro "Teodorin" Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini...
Kumekuchaaa
Aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amepingana waziwazi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Anasema kuwa hakuna uhalali wowote majeshi ya Israel kuendelea kuwepo Gaza...
Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri?
Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani.
Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa...
Trump's Economic Agenda for the Next Four Years: What to Expect
With Donald Trump's presidential victory, many are wondering what his economic policies will look like for the next four years...
Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo.
Donald Trump...
Mbona karibia viongozi wote wa chama cha Democrats wamekimbilia kumuunga mkono Kamala Harris ambaye ni mtu wa mrengo kushoto wa mbali kabisa na mwenye nakisi kubwa katika CV yake panapo masuala...
Maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE) yanafanyika mjini Shanghai, na kuzishirikisha nchi za Afrika.
Kwenye maonesho hayo, Tanzania imekuwa mgeni wa heshima kwa mara ya...
Barua Ya
Kabla ya yote Jasusi anawaomba radhi kwa ubashiri wake kwamba Kamala Harris angeshinda urais wa Marekani kwenda fyongo. Waungwana wakikosea huomba msamaha badala ya kukimbilia kutoa...
Well, wananchi wameamua.
Uchaguzi umefanyika huku wananchi wakiwa na full knowledge ya mashitaka yote ya kizushi dhidi ya Donald Trump.
Ni wazi kuwa wapiga kura walio wengi hawakuona tatizo...
Kaposti kupitia ukurasa wake wa X.
Zelensky
"I appreciate President Trump’s commitment to the 'peace through strength' approach in global affairs. This is exactly the principle that can...
Yesu aliwahi kusema huwezi kupigana vita kabla hujajua nguvu ya upande unaopigana nao. Mfalme mwenye wanajeshi 10K akigudua mpinzani wake qnao 20K atatafuta qmaninaye kqbla vita haijamuathili...
Habari wana jf .
Kama mnafuatilia mgogoro wa iran vs Israel.Hii hapa habari mpya
---
Tel Aviv: In a major possible escalation amid the ongoing war between Israel and Iran, the Iranian army is...
Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo...
Hii ni kwa mujibu wa Max Burns-The Hill.
Ni opinion yake…Naomba watakaochangia mada hii, wasome kwanza hiyo article. Na wafanye kujibu accordingly.
Kwangu binafsi, ninaamini kuwa ushindi wa...
Wanajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa...
Trump wins the U.S. Presidency by 277 electoral votes presently.But what does this mean for his adversaries.
November 06, 2024
Donald J. Trump has wo re-election to the United States...
Kumekuchaaa!
Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan
Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq.
========
The United States is continuing to send...
Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia...
Mambo yameshaanza kupamba moto kwenye mpambano mpya wa Trump vs Harris. Ambaye ameanza kuongelea utofauti mkubwa kati yao…amesema maneno hayo hapo chini…
Kama wengi wenu mnajua, kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.