International Forum

News and Stories from rest of the World
Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari njema hii bwana Trump ampa maelezo Zelesky ajikite kutafuta amani na siyo kurudisha maeneo Kwa hiyo Yale majimbo ya kilimo cha ngano baibai Kwa heri ya kuonana na bandari ya kimkakati Kwa...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Hii inaitwa kazi tuliyojituma tumeimaliza: Kwamba hakusikiliza: Ama hakika mission accomplished somo bayana kwa wasaka kura kokote: "Mwenye nchi, mwananchi!"
11 Reactions
149 Replies
3K Views
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura...
6 Reactions
84 Replies
3K Views
Hii kauli imefuatia baada ya urusi kutoa pongezi kwa rais mteule wa Marekani, na kusisitiza wao wako tayari kufanya majadiliano kwa kinachoendela sasa, kama huu uongozi mpya utahitaji kufanya...
12 Reactions
67 Replies
2K Views
Wakuu Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili...
14 Reactions
187 Replies
8K Views
Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Mods polen kwa kazi, Please msimove post Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ? Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran...
12 Reactions
70 Replies
2K Views
Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu. Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu. Inapendeza...
2 Reactions
5 Replies
434 Views
Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa...
0 Reactions
22 Replies
705 Views
Haya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel. Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu. Wenye nchi wananchi. Mara zote wasio busara hukumbuka...
11 Reactions
95 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatatu imedokeza kuwa mitandao ya kihalifu kote Kusini Mashariki mwa Asia inategemea zaidi app ya ujumbe wa Telegram kwa ajili ya kutekeleza...
1 Reactions
2 Replies
617 Views
Channel 12 waachia habari kuhusiana na ushujaa wa wapiganaji watatu wa hizbullah dhidi ya kikosi cha idf huko AItaroun. Kituo cha radio cha IDF kimetoa habari siku ya jana ijumaa kuonyesha...
1 Reactions
2 Replies
348 Views
Sera ya MAREKANI ni ileile. 1) Ulinzi wa Israel 2) Ulinzi wa western Europe 3) NATO 4) Middle East 5) Far East Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera. Wanatofautiana...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa...
2 Reactions
19 Replies
977 Views
Sijawahi kuona Rais wa USA duni kama huyu. Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu. Afya ya Biden haina tatizo lolote Ila toka yule Obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio...
1 Reactions
9 Replies
456 Views
Kwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka. Ndiyo hivyo tena. Majuto ni mjukuu.
14 Reactions
144 Replies
5K Views
Back
Top Bottom