Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko.
Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko...
Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya...
Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican Dr Welby amejiuzulu
Inadaiwa Askofu Dr Welby hakuchukua hatua za kumfikisha police Askofu wa Kanisa lake aliyetuhumiwa na kuwabaka Vijana Wadogo wa kike na kiume...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
Katika muda wa wiki...
Alikimbia kwa kuondoka na helikopta ya Kirusi hadi Ukraine. Alipatikana amekufa nchini Hispania.
Novemba 10, 2024 / Saa 7:30 PM EST / CBS News
Maxim Kuzminov alipigwa risasi katika mji wa...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa CIA, amesema kwamba anatarajia serikali ya Donald Trump, tofauti na Setikali ya Biden, itampa Netanyahu uhuru wote dhidi ya Iran, yaani Israel iamue wakati gani wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Wanajeshi kadhaa wa Syria walijeruhiwa kutokana na "shambulio" la anga la Israeli karibu na mji wa Al-Safira, nje ya Aleppo na Idlib, vyombo vya habari vya serikali...
Kampuni kadhaa za Rwanda, zilishiriki kwenye maonyesho ya saba ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa za China (CIIE) yaliyofanyika mjini Shanghai.
Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete vijana wa kiyahudi hawataki Tena kwenda vitani!
Kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha askari wa akiba wanaojitokeza kazini katika wiki za hivi karibuni...
Elon Musk ni kichwa sana yule jamaa.
Yeye ndie investor mkubwa kwenye rally ya Trump na inasemekena kwa ujumla aliwekeza dollar million 118.
Lakini baada ya Trump kushinda utajiri wa Elon ambae...
Wakuu,
Ni kwamba huyu baba nchi ishamshinda au Urusi rasmi imegeuka kuwa Chaneli ya vichekesho.
Hivi karibuni imeripotiwa kuwa Urusi inafikiria kuanzisha “wizara ya ngono” kama njia ya...
Moja kwa moja..
1. Kwa nini nawalaumu Hamas ?
Sikatai ukweli kwamba Raia wa Palestine wameishi kwa mateso miaka mingi chini ya utawala wa Wazayuni,wakiuwawa kunyimwa haki za msingi nk na...
Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya...
Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe...
Rais wa Botswana, Duma Boko, akihutubia baada ya kuapishwa rasmi kuwa Rais wa nchi hiyo.
Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, amesema anataka kuhalalisha Wazimbabwe wasiokuwa na vibali rasmi kwa...
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.
Ila Wao Huyu...
Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006.
Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona...
Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole
Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure.
Hilo...
Wanaukumbi.
Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo.
Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha...
Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.