International Forum

News and Stories from rest of the World
Wadau hamjamboni nyote? IDF itafanya shambulizi kubwa la ndege maeneo hayo Wakazi wakae umbali mita 500 Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo na kiarabu November 13, 2024 IDF issues...
1 Reactions
10 Replies
604 Views
Kundi la watumiaji huduma liitwalo Which? kutoka Uingereza, limefungua madai ya pauni bilioni 3 (zaidi ya Tsh. Trilioni 10.19) dhidi ya kampuni ya Apple, ikidai kampuni hiyo kubwa ya teknolojia...
2 Reactions
3 Replies
631 Views
Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
The 2024 US Presidential Election: A Historic Return and Its Global Implications The 2024 US presidential election marked a pivotal moment in American history, as Donald Trump secured a remarkable...
1 Reactions
1 Replies
449 Views
Uongozi wa Yemeni wa Houthi umeishambulia ndege meli vita ya Abraham Lincoln yenye urefu wa zaidi ya viwanja vitatu vya mpira na upana wa mita 70+ Length 1,092 ft (332.8 m) overall, 1,040 ft...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za...
1 Reactions
8 Replies
635 Views
Nawapa hii mbinu wala msinishukuru. Kuja kwa Turampu ni vere ize. Angalia video below.
2 Reactions
5 Replies
505 Views
Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
https://youtu.be/3LEOiCREXQs?si=fF40X0s_eaQoZe1- Habari ya mjini ndio hio, US na UK wanapiga we Yemen afu Al Houthi anawapelekeaa moto si wa kawaida. Msemaji wa Al Houthi wa Yemen anasema...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Muungano wa kijeshi wa NATO pamoja na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi tangu kumalizika kwa mzozo wa vita baridi miaka ya 1990s. NATO ilijisahau na kua na...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki. Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo...
9 Reactions
20 Replies
867 Views
Wadau hamjamboni nyote? Magaidi ya Hezbollah wamecharuka na kufanya shambulizi la nguvu huko Israel Mayahudi hawaamini kilichotokewa Jumuiya za kimataifa tunaomba kuingilia kati kuokoa uhai...
9 Reactions
101 Replies
4K Views
Oman yazindua satelaiti yake ya kwanza yenye teknolojia ya hali ya juu ya kuhisi kwa mbali na AI Sultanate ya Oman, ikiwakilishwa na kampuni ya ‘Oman Lens’, imefanikiwa kuzindua satelaiti yake ya...
3 Reactions
6 Replies
462 Views
Pamoja na kutumia matrilioni ya fedha kwenye kampeni zake, mgombea wa urais Kamala Harris ameacha Deni la Tshs Bilioni 5. Kiasi kikubwa kilikopwa kwaajili ya kulipia watu maarufu waweze kumpigia...
4 Reactions
10 Replies
451 Views
Kwenu wadau njaa mbaya: Gazeti la Korea Kusini la Korea Herald linaripoti, likimnukuu balozi wa zamani wa Korea Kusini nchini Urusi, kwamba badala ya usambazaji wa risasi na kutuma wanajeshi...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani...
0 Reactions
2 Replies
220 Views
Itabidi wasakwe mlango kwa mlango, hawa wahamiaji wa kutokea huko uarabuni kule hiyo dini ilibuniwa wamekua kero. Mpaka sasa wamekamatwa 62 ============ Dutch Prime Minister Dick Schoof...
13 Reactions
99 Replies
4K Views
Iran imetangaza ratiba ya mgao wa umeme wa nchi nzima kuanzia Jumapili, ya juzi kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya gesi asilia huku kukiwa na baridi kali, ambayo imesababisha uhaba wa mafuta...
2 Reactions
11 Replies
483 Views
Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker, Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !! Ikawaje Harris...
2 Reactions
7 Replies
722 Views
Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi. Rais Putin...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Back
Top Bottom