Upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya hekima ya mwanadamu na udhaifu wa Mungu una nguvu kuliko nguvu ya mwanadamu (wenye akili na hekima ya ki Mungu wamenielewa)
Kama huna super natural brain...
Baada ya raisi Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu nchini Marekani na kuwa raisi mtarajiwa wa 47 wa taifa hilo kubwa Duniani, nchi kadhaa duniani zimeanza kujiweka sawa.
Baadhi ya nchi hizo ni...
Wabunge wamepiga Kura na Kumchagua tena Waziri Mkuu, Shigeru Ishiba kuendelea na nafasi hiyo licha ya Muungano wake kupoteza wingi wa Wabunge katika Uchaguzi wa Baraza la chini mwezi uliopita...
2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa...
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Rais Ruto...
Ingekuwa huko Galilaya ya kale uwezekano wa Trump kushinda uchaguzi Marekani ungekuwa ndoto ya mchana, angekumbana na nguvu ya dola na kila aina ya mfinyo kuhakikisha mgombea wa chama tawala bi...
List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi;
Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups.
Rais...
hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo
Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na...
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo...
Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba...
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao...
Ni hivi Uchaguzi wa USA umetoka mafunzo yafuatayo:
1: Kuna ulimwengu wa roho
2: Kuna ulimwengu wa Mwili
-Na ulimwengu wa roho ndiko vita vinakopiganwa.Na mahindi kutangaza.!
-maisha ya watu ni...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi...
Wadau hamjamboni nyote?
Mapema kabisa nawaletea orodha kamili ya majina ya wanatajwa kumrithi Kiongozi Mkuu wa Hamas aliyeuawa Leo na IDF
Kamanda Mohammed Sinwar
Kamanda Khalil Al Hayya
Kamanda...
Marais wa Afrika ni walewale, uchawa na ujinga kila sehemu😹🤣🤣
====
Raia wa Ghana wametoa malalamiko yao baada ya Rais wa Nchini humo, Nana Akufo-Addo, kuzindua Sanamu yake iliyojengwa kwa...
Jina lake kamili ni Olukemi Olufunto Adegoke; alizaliwa Uingereza (Jan 2, 1980)na Wazazi wake ambao ni Wanaigeria wakiwa Uingereza walikoishi kwa muda mfupi.
Jina la Badenock ni la Ukoo wa...
Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.
Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo...
Mifumo ya Demokrasia na sheria imeona mbali. Huwezi mshitaki rais aliye madarakani. Kesi nyingi zilizofunguliwa na mamlaka za kisheria za shirikisho (Federal cases) zinakufa zote.
Kesi...
Fikiria, jiji ambalo mwangwi, wa karne kadhaa zilizopita, wa kengele za kanisa unatoweka na badala yake sauti ya Adhana inapanda na kuchukuwa mahali pake.
Katika jiji la kusifika la London...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.