International Forum

News and Stories from rest of the World
DR Mambo Jambo ,tupe ukweli kuhusu hii kitu, inawezekana tulidanganywa! Donald Trump has chosen Robert F Kennedy Jr as his new health secretary Mr Kennedy - a known vaccine sceptic - previously...
16 Reactions
174 Replies
6K Views
Moisemusajiografii itikadi uchwara wameanza kutapa tapa🤣 Mwamba aliwahi kuwa jeshini
16 Reactions
103 Replies
4K Views
Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ripoti mpya ya shirika la Israel, IMPACT-se, imefichua kuwa zaidi ya asilimia 10 ya wakuu wa shule na maafisa wa elimu waandamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina...
0 Reactions
8 Replies
541 Views
Salim Ayyash, gaidi wa Hezbollah, alietiwa hatiani kwa mauaji ya waziri mkuu wa zamani, Rafik Hariri, ambaye alikuwa mzalendo wa Lebanon anayejulikana kwa kujenga upya Beirut baada ya vita vya...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Mtaani kuna polojo nyingi hasa mashabiki wa mpira. Wanadai Brazil ni nchi maskini. Wanadai Brazil wanategemea mpira. Wanadai wa Brazil wana njaa. Jamani Brazil ni nchi tajili. GDP yake ni...
7 Reactions
19 Replies
948 Views
Tulisikia sana, na wababe wa Tanzania wakaimba Mazayuni watajuta. Anga likafungwa tarehe 4 hadi 6 Novemba 2024 tukajua ahadi ya 3 ya ukweli imewadia. Nauliza, hii oparasheni tuliyoingojea kwa...
7 Reactions
57 Replies
1K Views
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia...
81 Reactions
469 Replies
33K Views
Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume). Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa...
0 Reactions
155 Replies
33K Views
Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki...
12 Reactions
72 Replies
3K Views
Kama kawaida ya Russia inapofika msimu wa baridi hua anataka maadui zake wagande kwenye barafu..Usiku wa leo Bomber zote mauaji za Russia zilikua airborne zimekichafua mbaya robo ya tatu ya...
3 Reactions
8 Replies
740 Views
Hatimaye siri zaanikwa hadharani Kituo cha kijeshi cha Parchin kilikuwa na vifaa vya kubuni milipuko kwa ajili ya matumizi katika bomu la nyuklia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to...
21 Reactions
90 Replies
7K Views
Ili Israel ijihakikishie ushindi dhidi ya maghaidi wa Kiislamu, ni lazima imuue Ayatollah wa Iran. Wamuue Ayatollah, wamuue na Rais wa Iran. Maliza kabisa hao watu. Lipua majengo yao yote...
44 Reactions
165 Replies
5K Views
Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna...
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa...
8 Reactions
84 Replies
3K Views
Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Jimbo la Colorado mahakama kuu jimboni humo imeamua kumuengua Trump toka kwenye kinyang'anyiro cha kura za awali jimboni humo zitakazopigwa mwakani. Jimbo hilo linaongoza kwa Democrats wengi...
5 Reactions
169 Replies
6K Views
Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la...
4 Reactions
20 Replies
976 Views
Back
Top Bottom