International Forum

News and Stories from rest of the World
"Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia." –Brad Smith (Raisi wa Microsoft)...
20 Reactions
130 Replies
4K Views
Kizazi cha karne ya 21 hakiamini kuwa vita ya dunia huanza kama mzaha. Paneli ya kipindi cha Outnumbered wamejadili maendeleo ya kutisha baada ya vikosi vya Ukraine kushambulia Urusi kwa kutumia...
2 Reactions
15 Replies
916 Views
Jino la waziri Mkuu wa kwanza wa Congo limeibiwa jijini Kinshasa. Ikumbukwe waziri Mkuu Patrice Emilio Lumumba aliuliwa mwaka 1961 na Mwili wake kuyeyushwa kwenye tindikali. Ilivyo bahati mmoja...
2 Reactions
18 Replies
742 Views
Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9. Muongozo...
16 Reactions
315 Replies
9K Views
Technology Mark Zuckerberg announces the date that will end mobile phones and is clear about their replacement: "It will be like with computers" "There will come a point where your smartphone will...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu kwa kifupi Vita ya Israel na Palestine ni ya Karne nyingi zilizopita kabla ya ukristo na dini nyingine Na kinachagombaniwa siku zote ni maslahi ya hayo mataifa mawili Na historia...
1 Reactions
13 Replies
741 Views
Hii inaitwa mbwa kala mbwa!! Magaidi 22 wa kiisrael waliokua wakipora misaada ya gaza waangamizwa papo hapo Zaidi ya watu 20 wa genge wanashukiwa kwa wizi wa misaada ya kibinadamu walikufa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Mwanamke mmoja ameuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa katika mashambulizi ya roketi yaliyofanywa na Hezbollah Jumatatu, baada ya kundi hilo la kigaidi kurusha zaidi ya roketi 100...
15 Reactions
131 Replies
4K Views
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400...
10 Reactions
107 Replies
12K Views
Utafiti mpya umebaini kuwa idadi ya vifo vinavyotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan ni kubwa zaidi kuliko ilivyoripotiwa awali. Kulingana na ripoti ya Sudan Research Group ya...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine...
17 Reactions
80 Replies
3K Views
Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za...
0 Reactions
5 Replies
219 Views
https://youtu.be/LD6kvDHbIYY?si=7sv2Yv9AeEDde3Er Uhusiano kati ya wauzaji wa silaha na vita vinavyoendelea ni mada ya mjadala mkubwa na wasiwasi. Biashara ya silaha, halali na haramu, inachukua...
0 Reactions
7 Replies
545 Views
Jamaa wamerusha makombora ya ballistic cheki jengo refu lilivyoharibiwa vibaya Telaviv imeanza kuwa Gaza Taratibu wakuu hii sio poa wanangu taifa teule linasagiwa kunguni kiasi hiki[emoji1313]
17 Reactions
53 Replies
2K Views
Mkuu wa mahusiano ya vyombo vya habari wa Hezbollah, Mohammad Afif, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na ndege za kijeshi za Israeli katika mji mkuu wa Beirut. Tukio hili limezua maswali...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Msafara wa magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi, ulivamiwa, madereva walitishiwa bunduki washuke, misaada yote imeibiwa, magari 97 hayaonekani. Baadhi ya magari...
1 Reactions
12 Replies
692 Views
Wakuu, Kuna hii video nimekutana nayo huko mtandaoni imenipa maswali sana. Kuna video inaonesha waumini wa dini fulani wakiwa wamezuia magari barabarani then wanaswali barabarani kabisa ilhali...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Pamoja kwamba Iran ni nchi ya kiislamu ila Ina Idadi ya wakristo wanaotambulika kufika 300,000. Wakristo Hawa wanatokea kwenye jamii ya wa Assyrians, Chaldeans na Armenians. Hawa ndio serikali...
14 Reactions
102 Replies
2K Views
Back
Top Bottom