International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
11 Reactions
191 Replies
3K Views
Naunga mkono hoja ya Kageme na Rwanda ya makanisa yote kuanza kutozwa Kodi kulingana na Mapato wanayokusanya. Kanisa kama RC ukiacha sadaka lakini Lina utitiri wa miradi ya aina mbalimbali ambayo...
6 Reactions
20 Replies
568 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu jinsi baadhi ya watu mashuhuri walivyogeuza mtazamo wao dhidi ya chama cha Democratic nchini Marekani. Wakati Robert Kennedy Jr. na...
1 Reactions
5 Replies
629 Views
Kuna wakati ziliibuka tuhuma kwamba Trump ni “compromised” na Russia. Kwamba wana video zako kwenye mahoteli yao huko ambako alikuwa akipenda kwenda, kuwekeza na pia kushiriki masuala ya...
2 Reactions
0 Replies
446 Views
Wanaukumbi. Redio ya Jeshi la Israeli: Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Kwenye charter ya umoja wa mataifa maarfu kama UN Charter Ibara ya 27 (3) imeweka wazi kwamba maamuzi ya Baraza Kuu la Usalama yatapitishwa kwa Kura ya Pamoja kutoka kwa wanachama wa kudumu wa...
2 Reactions
7 Replies
316 Views
Wadau hamjamboni nyote? Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda...
17 Reactions
161 Replies
6K Views
Wanaukumbi. ⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza. 🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20. 🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri...
16 Reactions
220 Replies
5K Views
Msemaji wa Hezbollah akisepa baada ya kusema haogopi mabomu ya Israel, Sasa msemaji wa arabic -language wa IDF Avichay Adrae alitoa tangazo la onyo watu waondoke eneo hilo kuwa watalilipua...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Mkutano wa 19 wa Viongozi wa kundi la nchi 20 (G20) umefanyika nchini Brazil, ambapo Umoja wa Afrika umeshiriki kwa mara ya kwanza kama mwanachama rasmi, na kuwa shirika la pili la kikanda baada...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya...
4 Reactions
16 Replies
797 Views
Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kifo cha ghafla cha Anne Rwigara tarehe 28 Desemba 2023, kiliwashangaza familia yake inayoishi huko California. Anne, mwenye umri wa miaka 41, alikuwa dada wa Diane Rwigara, kiongozi mashuhuri wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Donald Trump, katika kampeni zake za uchaguzi wa 2024, ameonyesha msimamo mkali zaidi kuhusu masuala ya LGBT kuliko alivyofanya katika kampeni zake za awali. Ingawa wakati wa kampeni zake za mwaka...
36 Reactions
209 Replies
11K Views
Imeelezwa kuwa Wananchi wamepiga Kura ya 'Ndio' kwenye mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Serikali iliyomuondoa madarakani Ali Bongo na kumteua Jenerali Brice Oligui Nguema kuongoza taifa...
0 Reactions
2 Replies
440 Views
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger. Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa...
10 Reactions
234 Replies
5K Views
Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah...
15 Reactions
203 Replies
5K Views
Rais wa China Xi Jinping amesema yuko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Donald Trump kuhakikisha mpito mzuri katika uhusiano wa mataifa yao. Xi alitoa kauli hiyo alipokutana kwa mara ya...
6 Reactions
7 Replies
573 Views
Waislamu wanaoishi Marekani walikubaliana kwa kauli moja wampigie kura Trump kwamba atawasaidia kwenye chuki zao dhidi ya Wayahudi, ila jamaa kawageuka na kufanya kinyume, kateua Wayahudi kote...
12 Reactions
99 Replies
3K Views
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa! --- MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom