Hili swali huwa najiuliza sana.
Mara zote ambapo vita ya dunia ilitokea, sababu kubwa unakuta ni maslahi ya mataifa makubwa. Mataifa ambayo yanapishana “ideology”
Mfano mataifa ya mashariki na...
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie...
Russia imeanza kuzalisha na kusambaza Nuclear shetlers mitaani kwa ajili kukinga raia dhidi ya mionzi hatari......
Rais Vladimir Putin ameagiza vikosi vya Nyuklia kujibu shambulio lolote toka...
Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu.
Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
Wanaukumbi.
⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania:
Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo:
•Novemba 1: Afisa...
Pigo lingine kwa taifa la Israel huyu jamaa alikua ni tegemeo kubwa kwa taifa la Israel.Alikwenda kupigana lakini kwenda kuvumbua ardhi ya taifa hilo teule wakamtrace na kumla kichwa...
Bangladesh inakusanya malipo ya kampuni ya umeme ya Adani baada ya kampuni hiyo ya India kukata usambazaji wa umeme, huku ikiripotiwa kuwa ni kutokana na malipo ambayo hayajalipwa ya dollar $800m...
Kuna mtu katolewa chambo
---
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.
Onyo...
Vyombo vya habari vya Uingereza hivi karibuni vimeripoti kwamba Mfuko wa David ambao ni jumba binafsi la makumbusho la nchini Uingereza, utatoa takriban kauri 1,700 za kale za Kichina kwa Jumba la...
Axios
Axios
4 hours ago -World
Scoop: Israel destroyed active nuclear weapons research facility in Iran, officials say
Barak Ravid
A Maxar closeup satellite imagery of the Parchin Military...
Unajua unafiki ndio mlionao.
Kila siku mimi huwa nawaambia kuwa harakati zenu sio za ukombozi wa haki au usawa bali ni za itikadi, itikadi za kitapeli.
Uturuki amerusha makombora huko Syria...
Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina…
Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na...
Huu mji wa Dubai umaarufu wake umetokana na nini kiasi cha kujizolea umaarufu mkubwa sana kwa celebereties wa dunia, sehemu kubwa ya Afrika, kwa wabongo matajiri na hata wale wa kipato cha kawaida...
Moja ya kazi ngumu inayomkabili marekani sasa ni kupambana kila awezavyo ili kumdhibiti China.
Hii ni kazi ngumu sana kwa sababu inahusu maeneo mengi yakiwemo
- Ushindani wa kiuchumi, marekani...
Hayo ndio yanayoendelea huko Zambia alikoshika madaraka yule Rais aliyetokea Upinzani na rafiki wa Machadema bwana Hakainde Hichilema aliyekuwa anadai kwamba yeye hawezi kandamiza Wapinzani wake...
Wahenga walinena, 'lisemwalo lipo na kama halipo liko njiani linakuja!'
Katika hii vita Kati ya Urusi na Ukraine, Urusi ilishataadharisha mapema kuwa iwapo Mataifa ya NATO yatairuhusu Ukraine...
Ujumbe ndio huo, msemaji wa Hezbullah anasema Israel hawezi kushinda vita kwa ndege, au kuvunja majumba na kuwauwa watoto au wanawake. Vita huwezi shinda bila ground force, na hicho kitu Israel...
Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa...
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana.
Wenye hekima Watanielewa.
Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu...
Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi
Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.