US na UK zilikuwa zimeizuia Ukraine kutotumia makombora ya ATACMS ya USA na Storm Shadow ya UK kupiga ndani ya Russia. Juzi kati wakairuhusu na Ukraine ikayatumia kupiga ndani ya Russia. Putin...
Habari za jioni Great thinkers!
Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.
Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi...
Wanaukumbi.
Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa...
Nimejikuta nacheka mno mpaka machozi baada ya kusoma kauli ya UK Deputy Chief of Defence Staff Rob Magowan isemayo
"Uingereza ipo tiyari kuingia vitani na Urusi usiku wa leo endapo kama Russia...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose...
Muundo au Mfumo wa muingiliano wa dunia baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia ulijulikana kama Rules-Based Order(RBO), katika mfumo huu viongozi wa dunia walikubaliana kuachana na ule...
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na...
Niamey , Brussels.
Umoja wa Ulaya( EU) umemuita nyumbani balozi wa Umoja huo nchini Niger leo tarehe 23 Novemba 2024. Hatua hiyo imekuja baada ya serikali ya Niger kuukosoa umoja huo kwa kitendo...
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna...
Wadau hamjamboni nyote?
Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi...
Marekani, Uhispania, Italia, na Ugiriki zimetangaza kufunga kwa muda balozi zao mjini Kyiv siku ya Jumatano, baada ya kuripoti " uwepo hatari kubwa ya mashambulizi ya anga nchini Ukraine."...
🇷🇺 PUTIN: OUR MISSILES CANNOT BE STOPPED
"We will issue warnings to civilians and to clear the zones that will be targeted, and we will certainly do this in a transparent manner.
We have no...
Wakuu,
Mbona kama tunaelekea kwenye WWIII? Whats going on?
Siku ya Jumatano gazeti la New York Post limevujisha taarifa kuwa Ujerumani inajiandaa kupeleka askari wapatao 800,000 nchini Ukraine...
Rais mteule Donald Trump alitangaza Ijumaa kuwa amemchagua Scott Turner, mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa, kuwa waziri wa Idara ya Makazi.
Turner mshauri wa rais Trump kuhusu namna...
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu.
✓"Siku zake na ziwe...
Technology ya ndege ni ngumu Sana. Mataifa mengi duniani Yameshindwa kuunda ndege.
Mataifa kama Japan, Korea, Russia, UK tulitegemea wangekuwa wanatengeneza ndege lakini wapi
Cha ajabu Brazil...
Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.
Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika...
Chanzo cha picha: Getty Images
Maelezo ya picha,Kyiv hapo awali iliweza tu kutumia makombora hayo ndani ya mipaka yake. Ukraine imerusha makombora ya Storm Shadow yanayotolewa na Uingereza...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusu hali ya kiafya ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ambapo uvumi ulidai kuwa yuko katika hali ya koma, Khamenei ameonekana hadharani...
Vita inaingia kwenye sura nyengine
20 Novemba 2024
Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC.
Afisa huyo ambaye alizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.