Mwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China.
In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion:
China GDP
$272.97 billion
India GDP
$279.03...
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameondolewa mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, wakati akielekea kuapishwa kama rais wa 47 wa Marekani Januari 20, 2025.
Kulingana na kituo cha VOA, Jaji wa...
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda...
Habari ndio hiyo wakuu
Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made...
Kampeni ya Kiislamu ya mitandao ya kijamii inayojulikana kama #SaveMaryam inakuza ufahamu wa kuenea kwa Ukristo kote Indonesia - na inatumia takwimu na taarifa zenye utata kufanya hivyo. Meneja wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Waislamu wa madhehebu ya sunni ni asilimia kumi ya jumla ya wakazi wote wanaoishi nchini Iran.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Waislamu hao wa sunni wanabaguliwa na...
Baada ya mahakama ya ICC kutoa warrant ya kukamatwa Netanyahu kwa serikali yake kukiuka kanuni za vita, kama vile kuzuia kuingia kwa vyakula maeneo ya Gaza, Marekani imeweka wazi kuwa nchi yoyote...
Ingawa kwa hadharani NATO bado wanajimwambafai lakini kiuhalisia wamenywea sana!!
Tangu hypersonic missile ya Urusi isambaratishe kiwanda cha kijeshi cha kutengenezea makombora/missiles...
Mwenye tarifa na video za madhara yaliyosababishwa na silaha hatari zaidi duniani aina ya Oreshnik iliyotengenezwa kwa technology ya juu kabisa huku ikishuhudiwa na warusi wa Chanika, gongolamboto...
Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani
Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja...
Senetor wa jimbo la Arkansas Tom cotton ameipiga mkwara mahakama ya ICC kupitia mtandao wake wa X
ICC ni mahakama isiyotambulika na Karim khan ni siasa kali.Na yeyote atakayejaribu kutoa hati ya...
Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais.
Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa...
Anayejua sababu kwanini wamarekani walikataa kumchagua Rais mwanamke kuwaongoza atujuze, wengine tunaomba kujifunza kupitia hayo maamuzi yao, si kwa ubaya lakini.
Ukraine leo hii imefanya maajabu makubwa kusambaratisha mifumo ya Ulinzi ya Russia leo hii. Tena wamepiga kwa kutumia Drones tu.
The weakness of Russian Sophisticated and expensive Defence...
JAMAA wamejifungia sehemu wanajadili jinsi walivyoumbuka wakijodanganya eti kilanja wao mkuu ameleta Patriot.
Sasa cha kitu kipya Kwa jina oreshnik hili kombora lilipojaribiwa kule Russia west...
Katika hali ya kushangaza,jamaa wakiwa full-combated huku wakiwa wamejibebesha kila aina ya vifaa vya kisasa juu ya miili yao kuwasaidia kwenye battle ground dhidi ya Hamas,hapo ni baada ya jets...
Source: Gobal Firepower
Link; 2024 Military Strength Ranking
Top 20 countries;
1. United States of Ameirca
2. Russia
3. China
4. India
5. South Korea
6. United Kingdom
7. Japan
8. Turkey
9...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.