International Forum

News and Stories from rest of the World
Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini...
5 Reactions
11 Replies
692 Views
Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa...
2 Reactions
7 Replies
414 Views
Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje...
13 Reactions
187 Replies
6K Views
Ni mwendo wa kula uliwe Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7. CHANZO: AL JAZEERA TV
16 Reactions
136 Replies
11K Views
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni...
28 Reactions
239 Replies
6K Views
Wakuu tujongee...Sasa katika kitu kilikuwa kikingojewa na mataifa mengi wakitaka kujua uwezo wa Urusi sasa kinakaribia,hii ni baada ya Ukraine Usiku wa kuamkia leo Kutumia hizo silaha za masafa...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi. Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo...
15 Reactions
84 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Shambulizi baya la kigaidi Uholanzi Waisrael 10 ambao ni wapenzi wa soka wa Klabu ya macab TEL Aviv wamejeruhiwa vibaya na gaidi Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo...
4 Reactions
373 Replies
7K Views
Kila siku silaha mpya zinaingizwa vitani , baadhi zinaonesha ufanisi nyingine zinafeli . Nchi kubwa watengenezaji wa silaha inapotokea migogoro na vita ndio sehemu ya kuuza na majaribio ya silaha...
1 Reactions
5 Replies
463 Views
Wakuu, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya...
20 Reactions
202 Replies
5K Views
Rais wa Taifa la Kigaidi la Israel amepigwa marufuku kukatiza katika anga ya Uturuki baada ya kualikwa kwenye mkutano wa COP 29 summit huko Baku Azbaijan. Turkey effectively blocked Israeli...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!! kuhusu...
28 Reactions
258 Replies
8K Views
UPDATED 6:58 AM EST -- RUSSIA FIRES ICBM AT UKRAINE; SAYS NEW U.S. BASE IN POLAND NOW A PRIORITY TARGET FOR DESTRUCTION RUSSIA FIRES ICBM AT UKRAINE, SAYS NEW U.S. BASE IN POLAND NOW A...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Tangu kifo chake mwaka 2004, kuna sintofahamu ni kipi hasa kilimuua Kiongozi wa zamani wa Palestina Yasser Arafat. Kuna nadharia nyingi juu ya kifo chake, wengine wanadai aliuaawa na wengine...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata...
3 Reactions
19 Replies
919 Views
Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli. Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuanzia tarehe 20 January, 2025 waliojilipua na kuzamia Marekani au wenye ndugu zao huko wajiandae. Bosi mpya wa uhamiaji ameapa kuacha kiwewe na vilio kwa wengi. FUNGUA KIUNGO HIKI. --- What...
2 Reactions
8 Replies
733 Views
Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom