International Forum

News and Stories from rest of the World
Inafahamika kuwa Israel imeshindwa kuwakomboa mateka wanaoshikiliwa na Hamas kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hii ni pamoja na kutumia mbinu na teknolojia za hali ya juu ktk kuwatafuta na kuwaokoa ndani...
9 Reactions
52 Replies
1K Views
Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze kupakua (ku-download) na kusambaza picha pamoja na video kwa kutumia Whatsapp, kufuatia kashfa ya...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Naona Serikali Equatorial Guinea wanafanya kila mbinu kuhakikisha mambo yasiwe mengi baada ya huyo jamaa kuchafua hali ya hewa kwenye taifa hilo na nje ya taifa hilo ============================...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hawa majahili wasiokua hata na mshipa wa aibu ni tatizo la Dunia Tukiri ukweli wote bila itikadi kuwa uzayuni ni kansa ya dunia ya leo NEW: [emoji1134][emoji1146]Israel destroyed The Church of...
8 Reactions
98 Replies
2K Views
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi...
3 Reactions
12 Replies
585 Views
Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile...
7 Reactions
12 Replies
685 Views
Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye: a) Uchumi b)...
43 Reactions
219 Replies
6K Views
Unajua "ideology" ndio pumzi ya mwanadamu katika jamii. Inaweza kuumpa maisha au ika mpotozea maisha. Kuna wakati Waarabu ndio waliongoza katika sayansi, uvumbuzi na ubunifu ambao hadi leo...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa...
16 Reactions
192 Replies
5K Views
Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Chaguzi zote za Marekani hufanyika jumanne ya kwanza ya mwezi November baada ya sikukuu ya watakatifu wote, what the secret behind?
0 Reactions
4 Replies
271 Views
Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kuzuiliwa na mifumo ya anga ya Iran inaoneka wafuasi wa taifa teule wa humu JF hawaamini ndo maana kila dakika wanaanzisha nyuzi za kujifariji. Mara...
15 Reactions
79 Replies
2K Views
Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu...
3 Reactions
7 Replies
358 Views
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na...
43 Reactions
199 Replies
21K Views
kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana . leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi...
2 Reactions
0 Replies
173 Views
Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H Haya ndio maoni ya wachambuzi...
0 Reactions
9 Replies
469 Views
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu. Shambulizi hilo kutoka kwa Iran...
20 Reactions
748 Replies
25K Views
Habari wakuu. Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza, Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom