News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF
Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
October 23, 2024
IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike
By Emanuel...
Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe...
Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon
An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa...
Mji mkuu wa Israel Jerusalem una maajabu mengi.
Neno Jerusalem lina maana (misingi ya amani)
1) Uko katikati ya dunia.
2) Umezungukwa na milima
3) Manabii wote walifia Jerusalem
4) Yesu...
HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya
1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel...
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi...
IRAN inakwenda kufuta laana ya Ushoga wa taifa la ISRAEL
Operesheni True Promise 3 inakuja Safari hii wazayuni wakimbie nchi tu maana Iran inaenda kufanya jambo zito
Hawa Wairan ni vichaa ile...
Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq,
Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani...
Habari ndiyo hiyo kwa sasa, Iran pamoja na axis of resistance aka muqawama watamjibu Israel kwenye operesheni promise 3
Safari hii achomoki mtu
[emoji298]️BREAKING
The entire Axis of...
Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji.
Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
Uchaguzi unaoendelea huko Marekani umeonyesha kila aina ya rangi. Wakati wagombea wote wakichuana vikali, na huku ikionekana kuwa kura za waislamu na waarabu katika swing states kama vile michigan...
#Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war....
Mahakama ya Juu imefungia Akaunti za Benki za Kampuni ya Huduma za Intaneti ya #Starlink inayomilikiwa kwa ubia na Mfanyabiashara Bilionea #ElonMusk ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa X (zamani...
Tukisema huwa wanaficha madhara huwa mnatuona labda tunadanganya,wamemkamata na kumfungulia mashtaka eti kwa kosa la kuripoti kuwa makombora ya Iran yalilenga kambi zao!!
[emoji1134][emoji631]...
Habarini wanajukwaa, hebu leo namimi #kimsboy nichambue haya mataifa mawili uimara wake na udhaifu wa nchi hizi kijeshi na kiulinzi.
TUNAANZA NA IRAN
Tukianza na Iran ana jeshi kubwa sana...
Tokea Israel ajaribu kuivamia Lebanon zaidi ya wanajeshi wake 300 wameangamizwa na majeruhi ni maelfu
Mfano jana tu kikosi hatari cha makomandoo wa Hezbollah cha Redwan forces kiliingia Israel na...
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa
makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake...
Baada ya kuhit targets za Haifa sasa Hezbollah wameanza kuichakaza Israeli
Iko wapi ile mifumo bora dunian kama mtuaminishavyo??
#UPDATE[emoji599]
Hebrew media:
“The calmness of Hezbollah...
Karibia kila siku roketi na drones zinarushwa israel kutokea Lebanon.
Hezbollah wamekuwa na mashambulizi ya mfululizo wa kurusha drones na makombola israel.
Israel hawajawahi kupata changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.