International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika vitu vinavyochekesha na kuuzunisha ni kuona kundi la watu fulani wakichukulia usa poa sana Wengine kwa akili zao wanafikiri ni taifa dhaifu sana Any way tuombe tu Mungu amani iwepo duniani
36 Reactions
264 Replies
7K Views
Korea Kaskazini imezindua kombora jipya la masafa marefu ambalo ukubwa wake umeshangaza hata wachambuzi wa masuala ya silaha ya nchi hiyo. Mtaalam wa masuala ya ulinzi Melissa Hanham anaelezea...
2 Reactions
0 Replies
357 Views
Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa. Maafisa wa Marekani na Israel...
0 Reactions
21 Replies
942 Views
Miaka michache iliyopita ilikuwa huwezi kuzungumzia vita kati ya Uchina na Marekani lakini hivi sasa tayari hilo halipo na kinachozungumzwa ni vita kati ya mataifa mawili makubwa zaidi duniani...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
⚡️JUST IN Serikali ya Iran imeamua kuongeza bajeti ya kijeshi kwa asilimia 200%. Kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), Iran kwa sasa ina bajeti ya kijeshi ya...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea. Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza...
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao ni kesho usiku kuanzia saa 3 usiku huko Tel Aviv Hofu dhidi ya shambulizi la Iran yatajwa! Taarifa zaidi kukujia. Times of Israel: ======== November 1, 2024: PM...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili...
13 Reactions
193 Replies
5K Views
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Nigeria (NHRC) na watetezi wa haki za binadamu wameomba ulinzi wa haki za kidigitali za wananchi kufuatia ongezeko la udhibiti, uingiliaji na unyanyasaji...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa. Update: Russia is sending...
16 Reactions
78 Replies
3K Views
LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Mnadhimu wa Jeshi la Wanamgambo Israel amekoswakoswa na kuuwawa baada ya nyumba aliyokuwemo kulipuliwa na Wanajeshi wa Hamas. Lt Gen Halev alikua katika majukumu yake ya kukagua wanamgambo katika...
5 Reactions
9 Replies
891 Views
Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Marekani imestuka baada kasi mauaji ya wanajeshi wa NATO huko Ukraine kuongezeka huku Russia akaikamata maeneo kwa spidi ya ngiri....hofu hiyo imefanya Blinken aropoke China iondoe wanajeshi...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, amemwambia Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuwa anataka Israel imalize vita vya Gaza kabla ya yeye kurejea madarakani iwapo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
"History doesn't repeat itself but it often ryhmes" Mark Twain Kabla ya mwaka 1914, Ujerumani na Austro-Hungary walikuwa ni mataifa ambayo hayawezi kutenganishwa kwa lolote lile. Mkubwa alikuwa...
48 Reactions
124 Replies
6K Views
Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili...
8 Reactions
20 Replies
813 Views
Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni. Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama...
19 Reactions
66 Replies
2K Views
Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa...
2 Reactions
15 Replies
730 Views
Back
Top Bottom