International Forum

News and Stories from rest of the World
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na...
5 Reactions
16 Replies
551 Views
Shambulio la Iran dhidi ya Israel hapo majuzi lilikuwa la kushangaza. Usikose. Shambulio linalokuja la Israel dhidi ya Iran litakuwa mshangao mkubwa kwa ulimwengu pia. Baraza la mawaziri la...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu...
14 Reactions
100 Replies
3K Views
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members) 1. 🇧🇷 Brazil 2. 🇷🇺 Russia 3. 🇮🇳 India 4. 🇨🇳 China 5. 🇿🇦 South Africa 6. 🇦🇪 UAE 7. 🇮🇷 Iran 8. 🇪🇬 Egypt 9. 🇪🇹 Ethiopia Nchi maswahiba rasmi wa...
11 Reactions
26 Replies
985 Views
Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan. BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA. Malengo ni...
6 Reactions
13 Replies
675 Views
Maafisa wawili wa Iran waliuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran; wote wawili walikuwa askari wa jeshi la Iran, sio Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC). Tofauti na IRGC...
1 Reactions
0 Replies
302 Views
They manipulate both sides to create false hope. To them, it’s just a chessboard♟️ ♟️ In chess, white and black pieces are bitter enemies, but those who move the pieces are usually good friends...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant aliionya Iran kuwa "ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inataka kuidhuru Israel, huenda ikaathirika sawa na Gaza au Beirut." Kwa upande mwingine, kamanda wa Jeshi la...
7 Reactions
73 Replies
5K Views
Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran...
8 Reactions
47 Replies
1K Views
Angalia Spana hizi kutoka team Trump aka MAGA, kwenda Kwa mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Kwa Sasa katika Uongozi(sio utawala maana huu upo Shit countries tu). Ingekuwa bongo angetakiwa...
1 Reactions
0 Replies
238 Views
The U.S. deploys at least ten Air Refueling Strato-Tankers to the Middle East.Preparations for Israel Iran attack perhaps? Hal Turner World October 25, 2024 The United States Air Force has...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa...
33 Reactions
229 Replies
10K Views
Nchi ya China ndiyo inayoongoza Kwa wananchi wake kwa ulaji wa nguruwe duniani. Inakadiriwa wananchi wa China hula wastani wa kilo 70 za kitimoto kwa mwaka. Nchi namba mbili ni Belarusia...
30 Reactions
170 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mjisomee wenyewe hapo chini kwa kimombo: Gallant at IAF base: After we strike in Iran, world will understand all our training By Emanuel Fabian Follow and Agencies...
7 Reactions
126 Replies
6K Views
Baada ya kipondo kutoka majeshi ya Israel Magaidi wengi waliangamizwa na wengine kukimbia kusikojulikana juhudi za kuwatafuta bado zinaendelea.
3 Reactions
7 Replies
419 Views
Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao. Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel? Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika...
2 Reactions
12 Replies
355 Views
Huwezi kuona kwenye vyombo vya habari vya Magharibi kwa kweli magaidi wa kizayuni wanaendelea kubamizwa kidogo kidogo huko Lebanon na kupewa hasara kubwa sana ya vifaa vya kijeshi na Maisha ya...
11 Reactions
128 Replies
3K Views
he #US defence secretary said he had not seen evidence of a cash- and gold-filled Hezbollah bunker underneath a hospital in Beirut, as claimed by the Israeli military this week.⁠ .⁠ “We have not...
5 Reactions
5 Replies
411 Views
Back
Top Bottom