Wadau hamjamboni nyote?
Hezbollah yacharuka na kujibu mapigo kibabe kwa kushambulia makao makuu ya idara ya ujasusi ya IDF iliyopo Tel Aviv
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
October 23...
Arianna Katatabai, mwanazuoni wa siasa na mtaalamu wa Iran, ameibua utata kuhusu tuhuma za kuwa "double agent" kwa sababu ya madai ya kushirikiana na kundi la ushawishi wa Iran. Madai hayo...
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea...
Hizibollah hawana muda wa kuimba taarabu kwenye media kama Israel wao jukumu lao ni kuwachoma moto wanamgambo wa Israel pamoja na vifaa vyao na kuhakikisha wanabaki majivu.🔥
⚡️Wreckage of an...
Wanaukumbi
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA.
Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo...
Jamaa yeye hajataka kuwahi mabikra 72. Ameondoka Hezbollah kuelekea Tehran kujificha huko akihofia kilichomkuta Ungo na yeye Kibeku kumkuta. Wamereport Iran katika hali ya kustaajabishwa na...
Mwigizaji nyota wa Filamu, Idris Elba amesema anatarajia kuhamia Afrika katika kipindi cha miaka 10 ijayo na huenda akaishi katika miji ya Zanzibar, Accra nchini Ghana au Freetown huko Sierra...
Mataifa ya Lebanon na Mamlaka ya Palestina yamekuwa maeneo ya magaidi kujificha na kupanga mikakati ya kusumbua Dunia.
Ni wakati muhimu sasa kwa UN kupitisha resolution maeneo haya yawe chini ya...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini...
Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani.
Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu...
Jeshi la Israel lakuta ghala lenye mamilioni ya dola na dhahabu chini ya jengo la hospitali Lebanon
Hezbollah waliweka Hospitali juu halafu chini ya jengo la Hospitali benki ya kificho ya...
Masaaa machache kabla ya shambulio la October 7, Yahaya kwa kujua hali inaweza kuwa tete, aliichukua familia yake kuelekea kwenye mahandaki kwajili ya usalama pamoja na kuleta mahitaji muhimu kama...
May all souls find enlightment.
Aise mwaka huu waarabu maji wataita mma. Yani ni bampa to bampa Mayahudi wachafukwa wameamua kuonyesha nani ni baba na mtoto ni nani adabu ifuate mkondo wake...
Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
Ni huzuni na ni msiba kuona mwanaume akimlilia mwanaume mwenzake, kumbe walipanga mwezi ujao tu hapo waoane, taifa la Mungu linanuka ushoga na usagaji kuna picha Ben Gavir akimfariji huyo shoga...
Maelezo ya video,Tazama: Mashambulizi ya anga karibu na uwanja wa ndege wa Beirut
Israel imefanya mashambulizi zaidi ya anga huko Beirut na Lebanon usiku kucha, yakilenga matawi ya benki ya AQAH...
Vita ya Ukraine na Urusi na sasa mashambulizi ya Israel huko Gaza na Lebanon, imethibitishwa pasipo shaka kuwa aina za kizamani za zana za kivita, hazina msaada mkubwa kwa sasa.
Matumizi ya...
Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu.
Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza...
jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa
Misaada ya umoja wa mataifa inaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.