International Forum

News and Stories from rest of the World
Mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Marekani CIA Mike Pompeo ametahadharisha kwamba Korea Kaskazini inakaribia sana kuwa na uwezo wa kuishambulia Marekani kwa kombora la nyuklia. Amesisitiza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya kuchaguliwa jana Rais Mugabe wa Zimbabwe kuwa Balozi wa Heshima wa WHO leo uamuzi huo umetenguliwa rasmi Kiongozi Mkuu wa WHO ni raia wa kutoka Ethiopia sasa alijaribu kupeleka mwedelezo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Takribani watu 11 wameripotiwa kufariki dunia kufuatia mlipuko wa kinachosadikika kuwa bomu pembezoni mwa barabara mchana huu huko Mogadishu nchini Somalia. Tukio hili linatokea ikiwa ni wiki...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya umeipatia Serikali ya Burundi kiasi cha Euro Milioni 95 kwa ajili ya kuunga mkono miradi mbalimbali ya maendeleo nchini humo. Awali Burundi ilikatiwa baadhi ya misaada kutoka kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Idadi ya wanajeshi na polisi waliouawa katika mapambano na wapiganaji wa Kiislamu katika eneo la Bahariya magharibi mwa jangwa imefikia 53, maofisa usalama na matabibu wamesema. Wizara ya mambo...
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limemteua Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kuwa balozi wa 'uhusiano mwema' kusaidia kupambana na magonjwa yasiyoambukiza Kiongozi mpya wa WHO Tedros Adhanom...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kinara wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya NASA, Raila Odinga amesema kuwa Oktoba 25 atatoa ujumbe kuhusu jinsi ya kumwangamiza paka ambaye amekuwa akiwasumbua na kuharibu taifa lao. "Kuna njia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Raisi wa Marekani Donald Trump amesema ya kwamba atatoa ruhusa ya kuwekwa wazi nyaraka za siri zinazohusiana na kuawa kwa JF kennedy. Kulikuwa na madai ya kwamba Trump atazuia kuwekwa wazi kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siasa za Marekani huwa na mambo ya ajabu pengine kuliko siasa za nchi nyingi duniani. Hii inatokana na mikakati na mbinu mbalimbali za kisiasa ambazo wengine wanasema huonesha mawazo ya watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matukio ya mashambulizi ambayo tayari yamewaua watu sita yameenea katika jiji la pili la nchi ya Malawi, Blantyre, ambapo watu wenye vifafa hupigwa na kuchomwa moto. Matukio hayo ya mashambulizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila mtu na starahe yake ila hapa wapiga.ugimbi bia komoni wanzuki.dadii na piywaa.mbege ulanzi.ndg zetu wa kusini sijawahau na pombe yenu ya mabibo(ulaka).wazigua wadigo wabondei yenu (kangala)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Taharuki imetanda katika Kaunti ya Kisumu kuhusu aliko Seneta wa Kaunti hiyo, Bw. Fred Outa, na aliyekuwa Naibu Gavana, Bi Ruth Odinga. Wawili hao hawajaonekana tangu maafisa wa usalama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jeshi la Korea Kusini limetoa vitisho vikali ambavyo havijazoeleka kwa kudai kuwa ikiwa kutaibuka vita na mapigano katika eneo hilo, basi litaangamiza makombora yote ya balestiki ya Korea...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Six years after Libyans toppled their 40-year ruler Muammar Gaddafi from power in a U.S.-backed revolution, the former leader’s son and heir apparent to his father’s regime, Saif al-Islam Gaddafi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
LUIS MARTINEZ,ABC News 40 minutes ago The back and forth about President Donald Trump's condolence calls to the families of four fallen American soldiers in Niger has raised questions about the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Afisa mkuu mtendaji wa tume ya uchaguzi nchini Kenya Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukua likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marejeo wa Alhamisi kulingana na gazeti la Daily Nation...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
wandugu nauliza kujilipua ni kupi??? je ni kupiga meli au kukwea pipa na visa kabisa ?? manake nashindwa kuelewa waliojilipua walienda kwa gia gani?
0 Reactions
6 Replies
937 Views
Kiongozi wa muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya yaani NASA Mh Raila Odinga ameitisha maandamano nchi nzima wakati wa siku ya marudio ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Canada: Bunge limepitisha muswada ulioadhimia kupiga marufuku uvaaji wa Niqab kwa watumishi wa umma na raia katika maeneo ya wazi na wanapofika kwaajili ya kuhudumiwa katika ofisi za umma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Takribani watu wanne wameuawa nchini Togo katika mapamabano kati ya vyombo vya usalama na waandamanaji wanaopinga utawala wa Rais Faure Gnassingbe. Waziri wa ulinzi Kanali Damehame Yark alisema...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom