International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwanasoka mstaafu wa kimataifa George Weah na Makamu wa Rais wa Liberia watachuana kwenye marudio ya uchaguzi wa Urais yatakayofanyika Novemba 7, Hayoyalisemwa na tume ya Uchaguzi siku ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kampuni ya Yapi Merkezi ya Uturuki imeshinda tenda ya ujenzi wa Awamu ya pili ya Reli ya kisasa (SGR) urefu wa kolomita 422. Kampuni hii imezishinda Kampuni zingine 15 zlizoshindanishwa nazo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimestushwa na muamko wa haraka na wa mapema mno wa kupiga kura wananchi wanaoishi jimbo la catalan au catalonia yenye mji mkuu wa Barcelona kutaka ijitawale yenyewe hatamae kuibuka kwa 90% za...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Malumbano kati ya 'North' N.K na 'West' U.S.A yanaendelea kutokana na mahusiano yao kutokuwa na uhakika wa muafaka kimazungumzo. Kaimu balozi wa NK, UN amegusia mazoezi ya kivita ya U.S katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Igweeeeeeeeeeee! Wadogo mambo, wakubwa shikamooni. Nachukua nafasi hii kuomba ushauri kwenu wakaka zangu na wadada popote mlipo. Eti jamani kati ya kwenda kusoma na kutafuta maisha (kuwa raia...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Duuh..!! Bila shaka U.S inajiandaa kwa vita na NK.. We have seen and heard war of words kati ya U.S and NK for a while now, nadhani Trump anajiandaa kuliamsha Dude..!! Maskini Kiduku..!!
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Serikali ya jimbo moja nchini Nigeria imempa heshima rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, kwa kumjengea sanamu kubwa ya shaba na kuipa barabara moja jina lake. Wakati akifanya ziara katika jimbo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili limetokea Nigeria,je lingetokea nchini mwako ingekuwaje? ====== Lagos – A Nigerian court has reportedly dismissed charges filed against a man in Ogun state, who named his dog 'Buhari'...
2 Reactions
4 Replies
749 Views
TAKRIBAN wanakijiji 2,000 nchini Zambia wameshinda kesi ya kudai HAKI ya kuishitaki kampuni ya kimataifa ya Vedanta Resources inayoendesha shughuli za uchimbaji madini ya kopa kiasi cha...
0 Reactions
5 Replies
901 Views
2 p.m. Portuguese media are reporting that the death toll in the country’s spate of deadly wildfires has risen to 31, with several others missing. The Civil Protection Agency had said earlier...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Ndege ya shirika la Indonesia ya AirAsia imelazimika kugeuka na kurudi Australia baada ya marubani kujulishwa kuwa kulikuwa na tatizo la hewa katika eneo la abiria la ndege hiyo. Ndege hiyo ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
October 15, 2017 Austrian Poised to Become Europe's 1st Millennial Leader By Associated Press VIENNA — At age 31, Austrian Foreign Minister Sebastian Kurz is poised to become the first millennial...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Rais wa Jamhuri ya watu wa Rwanda Mh Paul Kagame amesema tangu ameingia madarakani amefanya kazi kubwa sana kuwaendeleza wananchi kupata fursa za kielimu,akihutubia kikao cha umoja wa mataifa juu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya ScotRail Alliance huko Scotland imetoa ofa ya kuwasafirisha bure watu wote ambao wanatafuta ajira pale wanapokwenda kufanyiwa usaili kwenye maeneo mbalimbali ikiwa ni kuwapeleka na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtayarishaji maarufu wa filamu na majarida ya ngono nchini Marekani, Larry Flynt ametangaza donge nono la takribani Dola milioni 10 kwa mtu yeyote ambaye ataweza kutoa taarifa ambazo zitapelekea...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
JONES MALHEIRO SAVIMBI.... msomi aliyeamua kuipa elimu kisogo Kuelekea msituni Alikuwa mtoto wa stesheni masta na mtumishi wa Mungu katika kanisa mojawapo nchini Angola Bwana na Bibi Loth...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
This Is the One Picture All of North Korea Fears Most Zachary Keck The National InterestOctober 8, 2017 Zachary Keck" data-reactid="11" style="margin-bottom: 1em;">Zachary Keck Security, Asia"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
US bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says. The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any...
5 Reactions
240 Replies
22K Views
Watu 40 wameuwa na mamia ya wengine hawajulikani waliko baada ya siku sita za moto wa nyika ambao umeharibu maeneo makubwa ya ardhi katika jimbo la California nchini Marekani. Gavana wa...
0 Reactions
3 Replies
749 Views
CLINTON foundation iliomba deal la kushughulikia hurricane recovery Trump akajibu we have Fema . Kilio Washington Trump vs Establishment , unaambiwa CNN is for sale na ATT wanataka kuinunua...
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Back
Top Bottom