International Forum

News and Stories from rest of the World
BREAKING: Roselyn Akombe resigns as IEBC commissioner; says election as planned "cannot meet basic expectations of a credible election". source NTV Kenya
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jimi Wanjigi ni Bilionea ambaye amehusika na ufisadi mkubwa Kenya Kama Anglo Leasing ameshindwa kutiwa mbaroni na Polisi jijini Nairobi baada ya kujifungia kwenye chumba lililojengwa kama kasha la...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Sasa imebainika kuwa idadi ya watu waliouawa katika mashambulio mawili ya mabomu mjini Mogadishu, Somalia, imepanda na kuwa 276 Mamia ya watu wengine wanaripotiwa kujeruhiwa. Hilo ndilo...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
October 17, 2017 patrick Johannesburg, Afrika Kusini. Ofisa mmoja wa Chuo cha Mafunzo ya Wafungwa cha Losperfontein alijiua Jumatatu baada ya picha zilizomwonyesha akimpiga busu mfungwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
MADAGASCAR: Ugonjwa wa mlipuko wasababisha vifo vya watu 74 ndani ya miezi miwili. Mpaka sasa watu 805 waripotiwa kuwa na maambukizi. Kisiwa cha Madagascar kimekuwa kikikumbwa na magonjwa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
OPINION | Why Trump is better for black America than Obama ever was I would argue that two factors hold back economic progress for blacks: a lack of jobs in inner cities and poor educational...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndege za kivita za Israeli zimelipua makombora ya ulinzi wa anga ya Syria mashariki mwa Damascus, jeshi la Israeli limeeleza. Inaarifiwa kwamba mfumo huo wa makombora ya ulinzi wa anga ulihusika...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Angalau polisi 7 wameuawa na watu wengine 22 kujeruhiwa kwenye mlipuko wa bomu uliotokea eneo la kiwanda cha Sariab kwenye barabara ya Quette -Sibbi siku ya Jumatano Kwamujibu wa ripoti za awali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Harare, Zimbabwe. Umoja wa Vijana wa chama cha Zanu PF unataka Rais Robert Mugabe, licha ya umri wake mkubwa, aruhusiwe kufia ofisini hali inayoibua fununu kwamba mzee huyo hana mpango wa kuachia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
In an act of admirable courage, Vladimir Putin has reportedly banned Jacob Rothschild and his banking cartel family from entering Russian territory “under any circumstances". Russian president...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
Jaji wa Hispania amearisha kuwekwa rumande kwa viongozi wawili waliiongoza harakati za kujitenga kwa jimbo la Catalonia Jordi Sanchez kiongozi wa bunge la Catalonia (ANC), na Jordi Cuirxart...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AFRIKA KUSINI: Rais Zuma abadili Mawaziri katika Wizara 6 ikiwemo Wizara ya Nishati. Inadaiwa ni maandalizi ya mpango wa Nyuklia. Taifa la Afrika Kusini linajiandaa kuingia ktk makubaliano ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii imetokea huko Afrika Kusini, ambapo tukiolimeneswa kwenye kameara linaonyesha majambazi waliiba fedha kwenye kituo cha kuuzia gesi, dereva aliyewafuatili na kujaribu kuwagonga walimpiga risasi
1 Reactions
67 Replies
10K Views
Wadukuzi wa Korea Kaskazini wamelenga kampuni moja ya vipindi televisheni nchini Uingereza ambayo inatengeneza kipindi wa kuigiza kuhusu nchi hiyo. Kipindi hicho ambacho kilitarajiwa kuandikwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
U.S. PRESIDENT TRUMP DOESN’T KNOW HE’S THE PRESIDENT OF THE U.S. VIRGIN ISLANDS BY JOHN HALTIWANGER ON 10/13/17 AT 11:45 AM UPDATED--Is President Donald Trump aware residents of the U.S. Virgin...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Harare, Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amekubali kugeuza kongamano la mwaka la Zanu PFlililopangwa kufanyika Desemba kuwa mkutano mkuu wa congress unaotarajiwa kutumika kumshusha Makamu wa Rais...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mbinu mpya za udukuzi. Hamas wamefanikiwa kudukua wanajeshi wengi wa jeshi la Israel. Taarifa zinasema kuwa Hamas wamekuwa wakitumia Application moja kuwatafuta wanajeshi wa Israel...
8 Reactions
79 Replies
8K Views
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino siku ya alhamis ametishia kuwafukuza mabalozi wanaowakilisha umoja wa nchi za Ulaya, na kupendekeza kuwa angeweza kuwapa masaa 24 ili kuondoka nchini mwake...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Askari walimshtukia kijana huyo baada ya kupita kwenye vituo vitatu bila kusimama huku gari hilo likielekea kwenye kambi ya majeshi ya Umoja wa Mataifa kwa spidi kali. Polisi mjini Kabul wamesema...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
It is good to be part and parcel for this forum, though I have been one of the effective participator by reading of ll what other stake holder has been contributing, I think its time also to share...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom