International Forum

News and Stories from rest of the World
1 Reactions
5 Replies
768 Views
Napenda kujua kuna nchi kama China,Urusi,Uturuki,Rwanda,Ethiopia,Uganda. Nchi hizo zote zinadaiwa kuwa zinaongozwa kidekteta lakini ndizo nchi uchumi wao ni mzuri na unakuwa kwa kasi na hakuna...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi kuna mambo mawili yameniboa kuhusu Bush? 1. Wameulizwa nini wanajivunia kuhusu urais wao. Clinton akasema anajivunia kuiacha nchi katika hali nzuri kiuchumi. Bush akasema anajivunia watoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chile. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Franco Luis ameshambuliwa na kundi la simba baada ya kujirusha ndani ya bustani ya wanyama hao akiwa uchi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndege moja ya kampuni ya ndege ya Uturuki Turkish Airlines iliokuwa ikibeba abiria 121 na wafanyikazi sita ilitua kwa dharura nchini Kenya siku ya Ijumaa alfajiri baada ya mojawapo ya injini zake...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
BY TOM O'CONNOR ON 10/12/17 AT 3:40 PM Russia has accused the U.S. of violating a peace treaty between Moscow and the Western military pact NATO after the Pentagon deployed a new force in the...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WAKATI ODINGA KAMA MPINZANI MKUU NCHINI KENYE AKIJIONDOA HUKU AKILETA SITOFAHAMU KWA HATMA YA UCHAGUZI MKUU. HUKO NCHINI KONGO WAPINZANI WAMEZIDI KUMKOMALIA RAISI KABILA IFIKAPO DECEMBER MWAKA...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufaa nchini Afrika Kusini imekubaliana na uamuzi wa Mahakama Kuu kuwa Rais Zuma ashtakiwe kwa makosa ya rushwa aliyokuwa amefunguliwa kabla hajawa rais. Makosa hayo yalihusisha dili...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Maafisa wa Afghanistani wamesema ndege ya Marekani imeauwa waiganaji 14 wa Dola ya Kiislam Shambulio hilo lilitokea jimbo la Kunar siku ya Alhamis mchana Abdul Ghani Musamin, msemaji wa Gavana wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
New York Post Tue, Oct 10 9:48 PM GMT+3 A jaw-dropping fitness model who serves in the US Air Force has amassed legions of fans for her stunning pics — both in and out of uniform. Alysia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mamlaka za jijila Paris zimepanga kuondoa magari yote yanayotumia petrol na diseli hadi kufikia mwaka 2030 Hii ni hatua ya kuongeza spidi ya nchi hiyo kutumia vyombo vya mafuta na kuhamia kwenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanafunzi watano na mlinzi mmoja wa usiku wamepigwa risasi na kuuawa mapema Jumamosi asubuhi katika shule ya mseto ya Lokichogio huku Kaunti ya Turkana, Kenya. Mkuu wa Polisi wa Kaunti hiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama ODINGA amejitoaa katika kinyanganyiro cha uraisi hivi NASA hawana mgombea mwingine ambaye atayegombea na kupambana na kenyataa. Kama ODINGA siasa zimemshinda si akae pembeni awaachie wenzie...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Watu watano wameuawa nchini malawi kwa kutuhumiwa kuwanyonya watu damu na kunywa damu hiyo kutokana na imani za kishirikina,Taarifa zilizopo watu hao walianzia nchi jirani na serikali mpaka sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The major television networks have all decided not to run Donald Trump’s so-called “fake news” ad, according to a statement released by his daughter-in-law Lara Trump. Lara, an adviser on Trump’s...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
NEW DELHI, INDIA: Mahakama Kuu imesema kuwa Mwanaume atahesabisha kuwa amefanya kosa la ubakaji kama atashiriki kufanya mapenzi na Mke wake mwenye umri wa miaka 15 hadi 18. Uamuzi huu unatarajiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Rais Donald Trump wa Marekani ameviamuru vyombo husika vya nchi hiyo kukinyang'anya leseni kituo maarufu cha televisheni cha NBC, baada ya kutangaza habari za uongo"fake news" kwamba rais Donald...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A Tanzanian woman gives more of her story ....and again warns people that taking drugs to Hong Kong is a suicide mission. Her letter is here (Sep 30): V2Catholic.Com Her previous letters are at...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Huko USA gumzo ni kuhusu IQ ya mzee mzima D.J.Trump, Trump juzi alihamisi alifanyiwa interview na jarida la forbes moja ya kitu kilichokua gumzo kwenye iyo interview yake ni kuhusiana IQ yake...
6 Reactions
47 Replies
6K Views
Shahidi huyo amesema kuwa alipewa majukumu ya kuhifadhi makombora mawili ya kudungua ndege, ambayo alisema kuwa yalitumiwakwa kudungua ndege ya rais Juvenal Habyarimana, kwa agizo la kiongozi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom