International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais Uhuru Kenyatta amemjia juu kiongozi wa NASA Raila Odinga baada ya kutangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu nchini Kenya na kusema hata kama...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadukuzi kutoka Korea Kaskazini walidukua mitambo ya kijeshi ya Korea Kusini na kuiba nyaraka nyingi zenye taarifa muhimu za kijeshi. Miongoni mwa yaliyokuwemo kwenye nyaraka hizo ni mpango wa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Rekodi nyingine ya Mtanzania Benjamin Fernandez aliyepata udhamini kusoma Harvard University
6 Reactions
52 Replies
10K Views
Mswati III, the current King of Swaziland and head of the Swazi Royal Family has married a 19-year-old girl as his 14th wife. King Mswati’s new bride, 19-years-old Siphelele Mashwama, is the...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Mamlaka katika jimbo lililo kaskazini mwa Nigeria la Kaduna zinasema kuwa zaidi ya walimu 20,000 wa shule za msingi watafutwa baada ya wao kufeli mtihani unaotahili kufanywa na wanafunzi wao. Hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndio llivyokuwa Las Vegas Watu Zaidi ya 50 wapoteza Uhai katika tamasha Warning: Disturbing Video
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Gari dogo laingia mtaroni Mkoani Shinyanga Asubuhi ya leo Hakuna Majeruhi
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Serikali ya Uhispania imesema ushirikiano baina yake na jimbo la Catalonia umevunjika huku serikali hiyo ikiwalaumu viongozi wanaotaka kujitenga kwa jimbo hilo la Kaskazini Mashariki mwa nchi...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mp
Nataka kwenda uk au german lkn nimeambiwa kuna visa ya itary na france
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Chui milia hao wa rangi nyeupe hupata rangi yao kutokana na jeni Mtunzaji wa wanyama katika mbuga ya taifa ya wanyama kusini mwa India ameshambuliwa na kuuawa na chui milia wawili, maafisa...
0 Reactions
7 Replies
953 Views
Shirika la upelelezi la Marekani FBI limeonya kuhusu kile kinachodaiwa ni tishio la misimamo mikali ya Waafrika Wamarekani au Wamarekani weusi. Jarida la Foreign Policy linasema limepokea waraka...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Unlike the gossipy, open democracies of Western societies, it is almost impossible to know who truly holds power in the opaque world of Chinese politics. The country is ruled by the Chinese...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya wiki chache kabla ya Uchaguzi Raila Odinga anaondoka kwenda London, Uingereza kuteta na Muzungu, ushauri wangu Wakenya fungeni Mikanda tu kwani mambo siyo mambo tena, akirudi huko ni Kenyan...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Waziri wa Afya nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na ugonjwa wa saratani. Slim Chaker, 56 aliugua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Che Guevara and Fidel Castro: Revolutionary Friends
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Chuo Kikuu cha Mount Kenya, mjini Thika, kimefungwa mara moja kutokana na taharuki ya kisiasa nchini. Usimamizi chuo hicho ulisema jana kwamba ulichukua hatua hiyo baada ya majadiliano ya kina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapiganaji wa Uganda wamefanya mashambulizi katika kambi ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Shambulizi hilo limemuuwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
For the first time Israelis have opened up Masjid-e-Ebrahim. Here you can see graves of Prophet Yakoob, Yousuf and Ebrahim Alehi Salaam Ajma'een.
2 Reactions
174 Replies
19K Views
Unaweza ukajiuliza kuwa kuna uwezekano wa mtu wa kawaida kumuoa mtoto wa Mfalme wa Swaziland, Mswati (III) ajulikanaye kwa jina la Princess Sikhanyiso. Binti wa Mfalme Mswati (III), Princess...
1 Reactions
67 Replies
14K Views
Spika wa Bunge la Ethiopia amejiuzulu kwa kile kinachotajwa kuwa ni kuonesha malalamiko yake dhidi ya hatua zilizochukuliwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya watu wa kabila la Oromo. Abadula...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom