Joohee Cho,Good Morning America 12 hours ago
US-South Korean war plans reportedly stolen by North Korean hackers
Along North Korea's border with China, an uneasy alliance and a fear of war...
Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya ulaji rushwa dhidi yake. Bw Zuma na maafisa wengine wakuu...
Marekani yatangaza kuwa inajiondoa kuwa mwanachama wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu na Utamaduni (UNESCO). Hatua hii imejiri wakati shirika hilo likijipanga kumchagua mkurugenzi mpya wiki...
Reach 120,000 Businesses in Tanzania.
Target companies by :-
1. Company name and address.
2. Contact person and title.
3. Location.
4. Phone, fax and mobile numbers.
5. Email and web address...
Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kulemaza kabisa shughuli za Marekani...
Hukumu iliyotolewa Afrika kusini leo na mahakama nchini humo ina tupa funzo kuwa hakuna uovu dhidi ya Binadamu utakao tendeka na ukabaki siri na haki isipatikane hata kama umepita muda kiasi gani...
MAREKANI: Watu 2 wameuawa na 24 kujeruhiwa huku 14 wakiwa mahututi baada ya mtu 1 kuwafyatulia risasi wakiwa katika tamasha la wazi la Muziki wa Country.
Tamasha hilo lilikuwa likifanyika karibu...
Travis Kalanick stepped down Tuesday as chief executive of Uber, the ride-hailing service that he helped found in 2009 and that he built into a transportation colossus, after a shareholder revolt...
MAREKANI: Idadi ya vifo baada ya moto kuzuka katika misitu huko California yafikia 23. Mpaka sasa Kikosi cha uokoaji na zimamoto bado kinaendelea kupambana kuhakikisha moto huo hausambai zaidi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Louise Mushikiwabo amewataka Maafisa wa Serikali ya Ufaransa kuelezea ushiriki na uhusika wao katika mauaji ya kimbari dhidi ya kabila ya Watutsi mnamo mwaka 1994...
Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, amesisitiza kuwepo muelekeo wa pamoja katika sekta za ulinzi na udiplomasia nchini Iran na kumfahamisha rais wa Marekani hivi...
Waziri Mkuu wa Hispania, Mariano Rajoy amewapa siku 8 viongozi wa Jimbo linalotaka kujitenga la Catalan ili kuachana na mchakato waliouanzisha wa kudai uhuru kamili wa jimbo hilo kutoka utawala wa...
Hivi kwa mfano ikitokea kesho 'Little rocket man' anakufa, ni nani huko North Korea atashika hatamu za uongozi?
Manake nijuavyo huko NK 'little rocket man' ndo kila kitu.
Na yeye bado ni bwana...
Wale wanaounga mkono uhuru walikusanyika Barcelona
Serikali ya Hispania imekataa tangazo la kujitangazia uhuru lililotiwa sahihi na kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont na kutupilia mbali...
Wanajeshi wa JWTZ Wameshambuliwa na kuua wawili na wengine 18 kujeruiwa vibaya na shambulio.
Hivyo watanzania tuwaombee wanajeshi wetu walioko katika ulinzi wa Amani nchi mbali mbali ili waweze...
Deadly wildfires roared across California on Monday, forcing evacuations and destroying homes and businesses in their paths. The biggest fires burned in the wine country of Napa and Sonoma...
Wadau Tume ya uchaguzi nchini DRC imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika April 2019 na sio mwishoni mwa mwaka huu wa 2017 kama ilivyotarajiwa.
Tume hiyo imedai inahitaji jumla ya siku 504 kwa...
Uwapo Rwanda,u-salama!
Ni nchi pekee ambayo inakupa uhakika wa mali na afya yako.
Ni nchi pekee ambayo,wizi,udokozi,ujambazi na mambo mabaya fanani na hayo,huwezi kuyashuhudia ktk nchi hii.
Ni...
ZIMBABWE: Rais Robert Mugabe afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri pamoja na kumhamishia Makamu wa Rais Wizara ya Utalii.
======
Zimbabwe President Robert Mugabe moved Patrick...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.