International Forum

News and Stories from rest of the World
Lifestyle Ross Baird,TechCrunch 17 hours ago Dear Silicon Valley, You used to be the envy of the world. Over the last decade I’ve seen countless cities try to become you, from the Silicon...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Afya Tunisia, Slim Chaker amefariki baada ya kupata mshtuko wa moyo aliposhiriki mbio za kuchangisha fedha za kupambana na saratani Waziri huyo mwenye umri wa miaka 56 aliugua baada ya...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini). Kwa sasa ndiye kiongozi wa nchi hiyo na alichukua cheo hicho baada ya kifo cha baba yake...
7 Reactions
44 Replies
7K Views
Sababu inayonifanya niendelee kumpa heshima huyu babu. From 8% to 100% Wanasiasa wetu wana kitu cha kujifunza hapa.
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Watafuta ajira huko Scotland wanapewa safari za bure kwa njia ya reli katika jitihada za kuondoa moja ya vizuizi vinavyozuia watu kupata ajira. ScotRail Alliance ilisema kuwa watu wanoatafuta...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, amempandisha cheo dada yake mdogo, na kumpa madaraka zaidi katika chama tawala cha wafanyakazi. Kim Yo-jong, anayeaminika kuwa na umri wa zaidi ya miaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Trump kujiondoa mkataba wa Iran Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kujiondoa katika mkataba wa nyuklia na Iran katika tangazo analopanga kulitoa wiki ijayo, kabla ya muda wa mwisho uliowekwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Karibu tani 3,800 za cocaine za thamani ya karibu dola milioni 260 imekamatwa na maafisa wa kimataifa katika pwani ya Hispania. Madawa hayo ya kulevya yalipatikana kwenye mashua moja kati ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Trump hapokei mshahara na amekata pensions na kila pesa watakayolipwa iwe speech unaweza usipate pension kabisa.Senate imepitisha.ESTABLISHMENT watakoma.Trump hawapi connection at all.Source...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I watched this video by Kenzo. You wouldn't tell he is a Tanzanian artist, the video was shot on what seems to me like Cape Town's Long street. The people involved seem to be really enjoying...
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Muda si mwingi yanayotokea Spain kwa jimbo la Catalonia kutaka Uhuru wao yatatokea kwenye majimbo ya Marekani pia kama watu kama Trump wataendelea kuitawala Marekani.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Maafisa wa Madagascar jana walitangaza marufuku ya kutembelea jela ili kuzuia kuenea ugonjwa wa tauni ambao hadi hivi sasa umeshauawa watu 36 nchini humo. Msimamiaji wa jela za Madagascar, Arsen...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu ..swali langu hili naomba msaada wenu haswa kwa wajuzi wa mambo..kwa. Taswira inayoonekana wakatalunya wanataka kuwa huru.swali Uhuru wa namna gani kwani uhispania inaitawala catalonia...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Mlipuko mkubwa umekumba kitua cha mafuta kwenye mji mkuu wa Ghana Accra, ambapo karibu watu 6 waliuawa. Mlupuko huo ulirusha moto mkubwa angani na kuwalazimu wenyeji kukimbia eneo la makutano ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
A fight between Ugandan and Libyan presidential guards sparked chaos during a ceremony attended by the heads of state from 11 African nations on Wednesday. Libyan leader Moammar Gadhafi and...
0 Reactions
138 Replies
25K Views
Mouawiya Syasneh alikuwa na umri wa miaka 14, mwaka 2011 akiwa anaishi katika mji wa Deraa, Syria. Mouawiya Syasneh alianza kwa kuandika ujumbe wa kuiponda na kuikosoa serikali kwenye kuta za...
9 Reactions
36 Replies
6K Views
Afisa wa zamani wa jeshi la Muungano wa Usovieti ambaye anasifiwa sana kwa hatua yake ambayo huenda ilizuia vita vya nyuklia kati ya Marekani na muungano huo wakati wa Vita Baridi amefariki dunia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Marekani wameanza kuidhinishwa kuiuzia Korea kusini silaha Kali, Wakati huo huo MAREKANI nimetuma ndege za kivita kuendelea na mazoezi maeneo ya Korea, Uku Korea kusini ikitoa mizinga yake yote...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Again, I congratulate our young friend, the Hon. Kyagulanyi, Bobie Wine, for his recent elections in Kyaddondo North. I also notice that he is quite active in sending out messages about what he...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza natoa pole kwa wahanga wa mauuaji yaliyotokea huko Marekani. Kitu cha kustaabisha sana maisha ya wamerekani yanakuwa yanathamani kubwa kushinda wanadamu wengine popote duniani. Mfano huko...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom