Habari za Muda wana JF,
Hali ya sintofahamu imetaharuki baina ya raia katika wilaya ya Msimbwa (Mocimboa da praia) mkoani Cabo delgado Nchini Msumbiji kutokana na Mashambulizi yanayoendelea baina...
We supply SSD CHEMICAL SOLUTION specialized in cleaning all types of defaced banknotes, black banknotes, anti-breeze, stamped, marked or stained currencyE.G BLACK dollars,pounds,rand s,euro and...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Rwanda Diane Rwigara, mamake na dadake wamdefikishwa mahakamani mjini Kigali kwa mara ya kwanza wiki mbili baada ya kuzuiliwa na polisi.
Watatu hao wameshitakiwa...
Kimbunga cha Kitropiki kiitwacho Nate kimeua takribani watu 20 katika nchi za Costa Rica, Nicaragua na Honduras.
Hali ya hatari imetangazwa katika nchi hizo za America ya kati ambapo watu zaidi...
Mkuu wa polisi latika jimbo la Uhispania la Catalonia, nchini Uhispania Josep Lluis Trapero, anatarajiwa kufika mahakama mjini Madrid kama mshukiwa katika uchunguzi kuhusiana na madai ya kuchochea...
Mkutano wa kumaliza kipindupindu ifikapo 2030 wafanyika nchini Ufaransa na kuwashirikisha wadau mbalimbali wa afya kutoka sehemu mbalimbali duniani ambapo moja ya lengo la mkutano huo ni kutafuta...
The gunman who police said sprayed bullets into a crowd of people at a country music festival in Las Vegas was an avid gambler who lived in an upscale retirement community about 80 miles outside...
KULA NIKULE: Wananchi wa kijiji kimoja huko Indonesia, wamemgawana na kumla chatu mmoja aliyejaribu kumla mlinzi wa shamba la minazi. Awali mlinzi huyo alizidiwa nguvu na chatu huyo katika...
Tarehe 04-oct ni siku ya kusainiwa mkataba wa amani nchini msumbiji kutkana na kusimamishwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kati ya Renamo na Frelimo chama kinachotawala nchi hiyo. Ndani ya siku hiyo...
Mkosoaji mkubwa wa rais wa Rwanda Paul Kagame, Diane Rwigara ameshtakiwa kwa kuchochea uasi dhidi ya serikali.
Ameshtakiwa pamoja na mama yake Adeline Rwigara na dada yake Anne Rwigara.
Diane...
North Korea ni nchi inayochafuliwa sana na propaganda za Marekani kupitia media zao. Ila ki ukweli yapo mambo mazuri sana huko NK ambayo hayapatikani katika nchi nyingi hapa duniani .Yafuatayo ni...
Kwa akali raia 45 wameuawa katika shambulizi la anga la hivi punde lililotekelezwa na ndege za kivita za Marekani nchini Syria.
Kwa mujibu wa kanali ya Press TV ya Iran, raia hao waliuawa hapo...
Habari wana jamii,
Kwa yeyote Mwenye taarifa zaidi walizochukulia wauguzi hawa wenye asili ya Bulgaria baada ya kuukumiwa Adhabu ya kifo na mahakama nchini Libya kwa kosa la kupandikiza virusi...
Tume ya Mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga maarufu kwa vyombo vya habari nchini humo kufanya 'Interview' na Mwanamuziki Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine baada ya kuonekana kinara kwenye...
Mahakama imemhukumu kifungo cha siku 20 jela mwanasiasa wa Upinzani Alexei Navalny ambaye ametangaza kugombea dhidi ya Rais Putin katika Uchaguzi Mkuu mwakani.
Alikamatwa siku ya ijumaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.