Harahe, Zimbabwe. Mbunge mmoja amesema kwamba zaidi ya asilimia 70 ya wabunge wa Zimbabwe wanaishi na virusi vya ukimwi na wanatumia dawa za kufubaza makali ya virusi hivyo (ARV).
Madai hayo...
Kama ulivyokuwa upepo mkali wa mabadiliko ulioanzia Tunisia na kusambaa Asia na Ulaya,sasa upo upepo mkali wa kujitenga. Upepo wa mabadiliko uliotokomezwa Syria,uling'oa viongozi waliokuwa...
Haki
Mwandishi mmoja ambaye huchapisha makala yake kwenye mitandao ya kijamii ametozwa faini ya dola elfu 410 kwa kuwapotosha wafuasi wake.
Belle Gibson, mwenye umri wa miaka 25 alipata umaarufu...
Aliyekuwa Rais wa Iraqi na kiongozi mkuu wa Wakurdi, Jalal Talabani, amefariki. Talabani ameaga dunia huko Ujerumani, akiwa na umri wa miaka 83.
Aliingia kwa mara ya kwanza katika siasa za...
Uongozi wa Jimbo la Catalan wasema kuwa watu Takribani Milioni 2.26 walishiriki kupiga kura ya maoni ili kuamua iwapo Jimbo hilo lijitenge kutoka katika Utawala wa Hispania.
Viongozi hao wamesema...
Kupitia tweets zake Rais wa marekani Donald Trump amerudia rudia mara kadhaa kuwa ataikamilisha kazi iliyowashinda watangulizi wake kina Clinton, Bush na Obama.
Waziri Mkuu wa Wapalestina Rami Hamdallah amesema yupo tayari kuchukua usukani kuyasuluhisha masuala ambayo hayajashughulikiwa katika Gaza na yanayohusu makaazi ya Ukingo wa Magharibi
Waziri...
Serikali ya jamhuri ya watu wa China imeamua kufunga biashara zote za akampuni ya Korea kaskazini,zoezi hilo litaanza kutekelezwa mnamo mwezi januari mwakani,hii ni kutekeleza azimio la umoja wa...
Raia wa Jimbo la Catalan mapema leo walijitokeza kupiga kura ya maoni itakayoamua iwapo Jimbo hilo lijitoe kutoka himaya ya Hispania.
Hata hivyo mamlaka ya utawala wa Hispania ilisema kuwa kura...
Dubai imefanya jaribio la teksi ya kwanza ya ndege isio na rubani ambayo wanatumaini itatumika kama chombo cha uchukuzi mijini.
Ndege hiyo isio na rubani yenye nafasi ya watu wawili iliruka kwa...
Watu 17 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine 48 wakiwa wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya lori kusini mwa Zambia.
Ajali hiyo imetokea baada ya lori kupinduka.
Kwa mujibu wa habari,dereva...
Marekani na China kuijadili Korea Kaskazini
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China.
Ajenda kuu katika mkutano huo ni mzozo...
Kwa kifupi alichosem bwana Donald Trump ni kuwa Afrika tumeshindwa kujitawala na tunapaswa kutawaliwa tena kwa miaka mingine 100.
Bwana Trump,anaewania kuteuliwa kuwa mgombea wa uraisi wa...
Mwanamme mmoja nchini Afrika Kusini aliyetambulika kwa jina la Ntando Mankungwini ametupwa jela mwaka mmoja baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Punda.
Ntando (23) alikutwa usiku wa Jumatano ya...
Mateso yasiyokuwa na mfano wanayopitia Warohingya Dhambi kuu ni pale watu wema wanapokaa kimya juu ya madhila yanayotokea.
Kwanini Jumuiya ya Kimataifa isisimame na Rohingya? Hivi kwanini iwe...
NEW YORK, MAREKANI
MMOJA wa vijana wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye ni miongoni mwa watu 70 waliokuwamo kwenye msafara wa kikazi wa rais huyo nchini Marekani ametumia muda wake kufanya...
Kituo CCIB FM+ cha radio nchini Burundi kimefungiwa kwa muda baada ya kukosoa serikali kufuatia mauaji ya warundi wakimbizi nchini Jamuhuri ya demokrasia ya Congo.
CCIB FM+, cha nchini Burundi...
Zaidi ya wananchi million 5 wa korea kaskazini wamejiunga na Jeshi la nchi hiyo kutokana na kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuitishia kuiangamiza korea ya kaskazini katika mkutano viongoz...
Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN...
Luanda. Swaziland’s King Mswati III has married his 14th wife, the media confirmed.
According to the Maravi Post newspaper, the King’s latest wife is SipheleleMashwama, 19, the daughter of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.